Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

Tanzania bado hatujachelewa tunaweza kumualika Snoop doggy akafanya brand ya kibabe sana
snoop doggy, mzee wa dog style na ile sigara kubwa a.k.a ganja, msuba, dope, kushabo, bangi itaondolewa kwenye orodha ya dawa za kulevya, soon kutakuwa na maeneo inakostawi bangi na kilimo chake kupamba moto kama kilimo cha tumbaku tabora.
 
Kuna ukanda utajipatia umaarufu kwa kilimo cha bangi kama ikihalalishwa, rejea kilimo cha pamba maswa, kilimo cha ndizi bukoba, kilimo cha chai mufindi, kilimo cha miwa kilombero, kilimo cha karafuu zanzibar, kilimo cha tumbaku tabora, kilimo cha pareto, kilimo cha mihogo, maharage arusha. Kuna kanda huwa wanachomewa mashamba ya bangi huenda wakawa ndiyo wakulima wakubwa wa bangi ikihalalishwa
 
snoop doggy, mzee wa dog style na ile sigara kubwa a.k.a ganja, msuba, dope, kushabo, bangi itaondolewa kwenye orodha ya dawa za kulevya, soon kutakuwa na maeneo inakostawi bangi na kilimo chake kupamba moto kama kilimo cha tumbaku tabora.
Kuna madogo wanakula ganja mpaka imewazoea yani imefika hatua ile stimu wanaiona kama haiwatoshi

Hawa watu wakipewa fursa ya kuwa mabalozi wa bange watakuja na ubunifu wao wa kipekee hata style ya uvutaji wao tu ni unique
 
Back
Top Bottom