Bomu Msasani

Mchaga

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,378
202
wadau kunataarifa kuwa kuna bomu limepatikana maeneo ya makazi ya watu msasani jijini leo na wanajeshi wamelipeleka lugalo.

mwenye taarifa zaidi please...
 
basi mie nikajua wewe ndio mwenye taarifa.. kumbe tuko wote!!!

haya tusubiri mwenye taarifa
 
wadau kunataarifa kuwa kuna bomu limepatikana maeneo ya makazi ya watu msasani jijini leo na wanajeshi wamelipeleka lugalo.

mwenye taarifa zaidi please...


Ahsante kwa taarifa...!!!

No comments...!!!
 
TBC 1 wameonyesha na wao katika taarifa ya mchana huu na kusema wananchi waliligundua na taarifa kwa taasisi za usalama ambapo wanajeshi walifika baada ya saa 3 na kulipeleka lugalo kwa uchunguzi zaidi.

"Baada ya saa 3"

Habari zaidi ya hapo tusubiri vyombo vyetu vya habari leo jioni labda watakuwa na maelezo zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom