james katto
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 385
- 128
Mzinzi koma kumnyoshea kidole Mwizi!
Ukweli JPM sio kabisa..mkuu hii news ishatembea hata moderator akiifuta sio issue....huyu jamaa mtemi ukisikia hotuba zake ni mikwara kibao..sasa wtz tujiulize hv kwani ukiwa ktk baraza la mawaziri huwezi toa ushaufi wa maendeleo kwa mawazifi wenzio? Ye kila kitu anashangaa na kusema atawashughulikia akipata kura..alikua ansubiri apate uraisi ndio arekebishe mambo...huo ni ubinafsi...
Alisema Saddam ni wa Libya, akasema tena hapana, ni wa KUWAIT... eeehh.. Saddam wa KUWAIT mnajua...? Ghadaffi je wa IRAQ je mmemsikia..? na Salva Kiir wa Ethiopia je..? eeeh na Mohammed Morsi wa SOMALIA... sasa msicheze na Amani... pia mnamjua Kabila wa Burundi... kuweni makini na Amani...!!!
Yaani....
😨😨😨😨😨😨😨😷😷😷😷😠😠😠
Magufuli kama unasoma hapa,kamuombe mkeo msamaha,hata mimi niliekuwa kambi yako mdogo mdogo.Yaani laana ya mke wako inakufuata.Ukweli popularity yako inapungua kila kukicha
Huyu si mgombea urais ni mgombea ujambazi aiseeIngekuwa vizuri habari hii ikachipishwa front page kuwakumbusha watanzania maana walishasahau. Kama iliandikwa na Salva Rweyemamu mwandishi wa habari wa rais kwa sasa, basi ni credible. Ichapishwe tena. Nawasilisha
Mimi ni team Magufuli,ila ninayosoma humu kuhusu alivyomfanyia mke wake,incase ni ya kweli ,yanaumiza sana.Mimi mtu asiyemjali mke wa ujana wake na akaweza jali mahawara zake huwa namuwekea wasiwasi sana katika kufaa kwake kuwa kiongozi.Ndo maana nasema kama ni kweli Magufuli atengeneze na mkewe,na kama leo nisipomwona huyu mama kwenye mkutano wa Magufuli huko Chato basi nitaconclude kuwa Magufuli hatashinda Uraisi.Ila mama Magufuli akionekana leo kule Chato basi Magufuli ni Rais na anasubiri kuapishwa tu.Nahisi account yako imekua hacked maana huu si uandishi wako. Kama kweli ni wewe basi hongera sana aisee dah
Tuwe tunafikiri hata kidogo tu kabla ya kutenda
Hii ni makala ya huyu huyu Salva Rweyemamu aliyeko ikulu leo kama Afisa habari?
Lakini ukimwambia atoe msimamo wake wa hiki alichokiandika zaidi ya miaka 10 iliyopita, ataruka kimanga balaa!!
Madaraka na hela ni noma sana, unaweza kumkana hata mama yako!!
Tuwe tunafikiri hata kidogo tu kabla ya kutenda
Richmond ya juzi?Habari ya kale sana hii na iloshatolewa majibu. Tunaomba mlete vitu vya motomoto
Mimi ni team Magufuli,ila ninayosoma humu kuhusu alivyomfanyia mke wake,incase ni ya kweli ,yanaumiza sana.Mimi mtu asiyemjali mke wa ujana wake na akaweza jali mahawara zake huwa namuwekea wasiwasi sana katika kufaa kwake kuwa kiongozi.Ndo maana nasema kama ni kweli Magufuli atengeneze na mkewe,na kama leo nisipomwona huyu mama kwenye mkutano wa Magufuli huko Chato basi nitaconclude kuwa Magufuli hatashinda Uraisi.Ila mama Magufuli akionekana leo kule Chato basi Magufuli ni Rais na anasubiri kuapishwa tu.
Siyo kweli,kipindi hicho Salva alikuwa kambi ya JK ikisimamiwa na Lowasa,hivyo yote hii ilikuwa ni kumzuia Magufuli kugombea uraisi baada ya JK.Hii makala ni mojawapo ya zilizomfanya apewe shavu magogoni ili kumfunga mdomo