Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
"Mdogo wangu Bashiri ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie" Zitto Kabwe amabye ndiye Mbunge mteule kwa jimbo la Kigoma Kaskazini kipitia chama cha CHADEMA.
"'Ganda la risasi ya moto limeokotwa ndani ya ofisi ya CHADEMA nilimokuwamo wakati polisi wanapiga mabomu. polisi walitumia risasi za moto!naenda polisi sasa hivi. uchunguzi wa kina unatakiwa" Mh Zitto Kabwe akizungumza.
NB;
Huyu dogo alifanya kitendo cha kishujaa kumkinga Zitto inaonyesha alilengwa yeye.