Bomu lililo mkosa kosa Zitto Kigoma


Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,973
Likes
122
Points
145

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,973 122 145
13.jpg


"Mdogo wangu Bashiri ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie" Zitto Kabwe amabye ndiye Mbunge mteule kwa jimbo la Kigoma Kaskazini kipitia chama cha CHADEMA.

101.jpg

61.jpg


"'Ganda la risasi ya moto limeokotwa ndani ya ofisi ya CHADEMA nilimokuwamo wakati polisi wanapiga mabomu. polisi walitumia risasi za moto!naenda polisi sasa hivi. uchunguzi wa kina unatakiwa" Mh Zitto Kabwe akizungumza.

NB;
Huyu dogo alifanya kitendo cha kishujaa kumkinga Zitto inaonyesha alilengwa yeye.
 

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Messages
4,516
Likes
19
Points
135

NATA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2007
4,516 19 135
13.jpg


"mdogo wangu bashiri ndiye aliyenikinga na bomu na hivyo yeye kujeruhiwa. Alinivamia alipoona wamenilenga mimi na kurusha mabomu kule nilipo mie" zitto kabwe amabye ndiye mbunge mteule kwa jimbo la kigoma kaskazini kipitia chama cha chadema.

101.jpg

61.jpg


"'ganda la risasi ya moto limeokotwa ndani ya ofisi ya chadema nilimokuwamo wakati polisi wanapiga mabomu. Polisi walitumia risasi za moto!naenda polisi sasa hivi. Uchunguzi wa kina unatakiwa" mh zitto kabwe akizungumza.

Nb;
huyu dogo alifanya kitendo cha kishujaa kumkinga zitto inaonyesha alilengwa yeye.
hii mbaya sana!
 

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
1,167
Likes
337
Points
180

doup

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
1,167 337 180
subiri watakapo pindisha ukweli; kigoma wameichoka ccm, miaka 45 ya uhuru, usafiri njia ni ya mjerumani aliyotumia kuchukulia manamba, kigoma umaskini ni wa hali ya juu japokuwa ni wachapakazi na wazalishaji wa mazao sana; na mzigo wa wakimbizi juu. Yaaani kwa kifupi wamesahahurika,

Angalia mikoa yote inayokumbatia ccm (pwani,lindi,mtwara,tabora,rukwa,dodoma,singida) maendeleo ni duni kwani ccm imewafanya shamba la bibi kuchukua kura na kuondoka wanarudi after 5 yrs, SASA KIGOMA wamesema BASI YATOSHA, Hongeleni sana .

Mh. Zito kazeni buti Mapambano bado yanaendelea
 

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Messages
2,534
Likes
25
Points
135

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined May 8, 2008
2,534 25 135
Hawa polisi baadhi ni vibaraka tuu,ngoja tudai haki kwa nguvu ya umma.Tutawaomba dada zetu wawanyime chakula na nanihii polisi wasaliti.
 

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
8,522
Likes
817
Points
280

Nduka

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2008
8,522 817 280
safi geshi la polisi next time hakikisha mnalenga kichwani hao ni bakteria wa kuanzisha fujo dawa kuuwa wote.
 

Forum statistics

Threads 1,204,944
Members 457,616
Posts 28,176,470