Bomu laonekana karibu na kanisa mkoani morogoro

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Wadau, Nimesikiliza radio one muda huu wanasema kuna habari kwamba bomu ambalo limeshindwa kutambuliwa na jeshi la polisi ujazo na aina ya bomu hilo limeonekana karibu na kanisa moja mkoani morogoro. Walio na taarifa watujuze zaidi. Source: RADIO ONE
 
Propagetion za wakristo iliwapate kibali cha kuwavamia wasilamu,hakuna lolote hapo,wasilamu wa tz hawana bifu na wakristo,
 
Propagetion za wakristo iliwapate kibali cha kuwavamia wasilamu,hakuna lolote hapo,wasilamu wa tz hawana bifu na wakristo,

Hata sisi wakristo hatuna bifu na waislam coz tumeoa kwenu waislam na nyie mmeoa kwetu, nadhani kuna watu wachache hawapendi ushirikiano huu
 
chadema hao wanataka kubadili vichwa vya habari.

chadema Kimenuka!

Japokuwa huwa unapenda sana kuwaponda CDM mi huwa sifurahii, ila kwa asilimia kubwa kwa haya uliyonena naweza nikaamini. CDM kumetifuka tena sana.
 
Back
Top Bottom