Bomu lakutwa kwenye makazi ya Bill&Hillary Clinton

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
5363352-6311841-image-m-14_1540388001261.jpg

Bomu lakutwa kwenye makazi ya Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton huko Chappaqua Jijini New York

Mfanyakazi wa Mwanasiasa ndiye aliyebaini bomu hilo wakati akiendelea na shughuli zake.

Bill Clinton anaishi na Mkewe, Hillary Clinton aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani wakati wa Obama lakini pia aliwaia urais kabla ya kubwagwa na Donald Trump

Maafisa wa Usalama wamesema kifaa cha mlipuko kama hicho pia kilikutwa katika Jumba la Bilionea George Soros anayeishi mita chache kutoka kwa Wanasiasa hao

=====

A bomb has been found at Hillary and Bill Clinton's suburban New York home.

The explosive device was found Wednesday morning at their home in Chappaqua.

It was found an employee who screens mail for the former President and Secretary of State, the New York Times reports.

A law enforcement official said the suspicious package was similar to one found at billionaire George Soros' nearby home on Monday.

5363292-6311841-image-a-3_1540387875320.jpg
 
Kapelekewa Obama pia, na CNN..

"Explosive devices were sent to former President Barack Obama and former Secretary of State Hillary Clinton, as well as to CNN’s offices in New York, sparking an intense investigation on Wednesday into whether a bomber is going after targets that have often been the subject of right-wing ire.."

1540397824307.png
 
wanataka kufunika la kashong kwa kuleta hizi hekaya za abunuasi,mafala hawa.
 
Hivi nyumba za hao viongozi wastaafu hazina sisitivi naona kama na wao wanatumia mda mwingi kupiga ramli chonganishi kubaini aliyeweka hayo mafurushi
 
Bado.
My assumption due to attacks being directed to left-leaning big shots and Trump's critics.

Oh okay.

Kama ni assumptions tu basi mwingine naye anaweza ku assume kwamba aliyefanya hivyo ni Democrat kwa lengo la kuwachafua right wing!

Trust me, it can happen that way.

Nikiwa chuo nakumbuka kuna mdada mmoja, African American, alikuwa anasoma Dental School.

Kuna wakati alijiandikia meseji za ki racist halafu akadai katumiwa na watu wengine [wazungu] hapo chuoni.

Black Students association wakaandamana na mabango yao, mgomo, and the whole shebang.

Baadaye baada ya uchunguzi wa polisi ikabanika kuwa chanzo cha hizo messages ni yeye mwenyewe na si wazungu wa hapo chuoni ambao tayari walianza kusakamwa kuwa ni wabaguzi!!!

Watu wana mambo sana......

But I get it. People will blame Trump for this....
 
Agree. As someone also pointed out that, "Wamejitegea kuichafua Serikali"
 
Nadhani unatafuta tukuindoe kwenye hiki kitengo. Yaani that wuick una jump to duch a conckution.
Usirudie tena usije ukasababisha ze kokuyo akakupoteza partner muhimu

:D:D:D

"Watakuwa lao moja, wanamzunguka kumpinga Trump"

Sawa PakiJinja!
But before I go, may I have your attention please, if you're the real right-wing please stand up!...I repeat, if you're the real right-wing please stand up!..

Southwest passenger accused of groping woman during flight allegedly told police President Trump 'says it's OK'
 
Bado.
My assumption due to attacks being directed to left-leaning big shots and Trump's critics.
kwenye scenario kama hii hasa kuelekea uchaguzi, tukio km hili usilitazame kwa kuangalia victim.........

mhusika mkuu hapa ni yule ambaye ata-gain kitu kutokana na hili tukio............. (huyo ndiye mastermind wa hayo mabomu)

nani anaweza kutumia tukio hili kujipatia umaarufu kisiasa ktk uchaguzi huu wa november? (na huyo ndio mhusika mkuu)
 
Back
Top Bottom