Bomu la US lilolenga wanamgambo wa Taliban, laua wananchi zaidi ya 60

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
15,106
31,678
Habari zilizofika hivi punde ni kwamba, shambulio la anga lililolenga wanamgambo wa Taliban laua raia wasio na hatia zaidi ya 60.

=====
US strike targeting Taliban commander causes civilian casualties

1578683644548.jpeg


More than 60 civilians were killed or wounded in a US drone attack targeting a top Taliban splinter-group commander in the western Afghanistan province of Herat, local officials said.

The Taliban commander, named as Mullah Nangyalay, was killed in Shindand district close to the border with Iran, Herat provincial governor's spokesman Jailani Farhad said on Thursday.

"According to the people, over 60 civilians were killed and wounded in the operation," Toryalai Tahiri, deputy head of Herat provincial council, told Afghan local media TOLO News.

Quoting Wakil Ahmad Karkhi, a member of the Herat provincial council, TOLO News reported "civilians have been killed and wounded alongside Mullah Nangyalai's fighters" in an American attack on Wednesday.

The Afghan government said it launched an investigation into reports of civilian casualties.

Nangyalay split from the main branch of the Taliban after the 2013 death of founder Mullah Omar and joined a smaller breakaway faction led by a commander known as Mullah Rasool.

A senior provincial police source said Wednesday's air raid had been carried out by a US drone.

Resolute Support, NATO's mission in Afghanistan, told AFP news agency it launched "a defensive air strike in support of Afghan forces", with a spokesman confirming US participation in the operation.

The main Taliban faction has been negotiating with Washington for more than a year over the withdrawal of US troops in exchange for security guarantees from the armed group that could pave the way to intra-Afghan peace talks.

Source: Al Jazeera
 
Ile juzi wakati naomba zipigwe mliniona kama chizi mkaanza kunitukana matusi ya nguon kwa mama yangu

Oneni sasa ndugu yenu America alichokifanya
Kitu hiki ni haramu sana mbele ya mtoto yesu
Ni onevu mbele ya watu wasio na hatia ambao ni viumbe wa Jehovah

Akiambiwa arushe hata kokoto japo moja Iran anakula kona alafu alivyo mpuuz anaenda kuonea raia wasio na hatia ambao hawana hata manati ya kumurushia

Poor America
Poor trump

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile juzi wakati naomba zipigwe mliniona kama chizi mkaanza kunitukana matusi ya nguon kwa mama yangu

Oneni sasa ndugu yenu America alichokifanya
Kitu hiki ni haramu sana mbele ya mtoto yesu
Ni onevu mbele ya watu wasio na hatia ambao ni viumbe wa Jehovah

Akiambiwa arushe hata kokoto japo moja Iran anakula kona alafu alivyo mpuuz anaenda kuonea raia wasio na hatia ambao hawana hata manati ya kumurushia

Poor America
Poor trump

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua like zote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom