BOMU KURIPUKA UDSM: Kwanini LOAN BOARD INAWANYIMA UDSM MIKOPO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BOMU KURIPUKA UDSM: Kwanini LOAN BOARD INAWANYIMA UDSM MIKOPO?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Dec 23, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Katika hali ya kusikitisha na kusononesha chuo kikongwa hapa nchini UDSM wanafunzi wake wanaendelea kuishi katika maisha magumu hii ni kutokana na serikali kuu na serikali yao DARUSO kutowajali wanafunzi wake. DARUSO imekaa kimya muda wote huku wanafunzi wakiangaika wenyewe na maisha magumu. Chuo hiki kina wanafunzi kama 19000 lakini mpaka sasa waliopewa mkopo ni 4138 22% ya wanafunzi wote.


  Hii sio haki hata kidogo serikali ya KIkwete inatengeneza BOMU ambalo litakuja kuripuka soon.

  Serikali inaongeza nguvu zake UDOM na kuiacha UDSM ikichakaa. Hii inaongeza chuki kwa Serikali ya kikwete kwa wasomi hawa.

  Juzi nilikuwa chuo nikakutana na wadada kama watano wakasema wameenda LOAN BOARD kuulizia mikopo maana tokea waapply mwezi wa saba hawajapata mikopo, nikawauliza kwani loan board wamewaambiaje? eti wameambiwa kuwa waandike barua kwanin wapewe mikopo?

  File attached

  Source:Tanzania HESLB Website
   
 2. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hakika vyuoni kuna shida, mtu anayesikia hivihvi au yule mambo safi hawezi kuliona hili.
  Serikali imetumia pesa zote kwenye kampeni sasa wadogo zetu wanapatashida, DARUSO yenyewe inachakachuliwa viongozi wake ili serikali na uongozi wa chuo wawakalie kooni.
   
Loading...