Bomoabomoa Stendi ya Dodoma

mafimboo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
2,415
976
Zoezi la bomoabomoa linaloendeshwa na shirika la Reli limeacha wafanyabiashara wa Dodoma wakiangua vilio vya mwisho wa mwaka pasipokujua hatma yao,picha ya zoezi hili zimeshindwa kupatikana baada ya askari kukamata simu zote zilizorekodi tukio hili na kuwapeleka watuhumiwa central station,wafanyabiashara walipewa masaa 12 ya kazi kuwa wawewameondoka eneo hili LA tukio,walitaarifiwa tarehe 1-12-2017 jioni na kutakiwa kuondoka,ubomoaji ukaanza 2-12-2017 jioni,ni machungu ya mwisho wa mwaka,cha kushangaza kwanini walikamata simu zilizorekodi matukio kama zoeli halikuwa na dosari?
 
Mm kuhusu bomoa bomoa kwa maeneo yaliyopimwa na jitu tu linavamia serikali isisite kabisa kuzibomoa ili kuepuka kuwa na majiji ya ajabu hapo baadae!
 
Back
Top Bottom