Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Jana tumeshuhudia bomoabomoa ikiendelea hapa mkoani Dodoma kwa vibanda vingi sana vya wafanyabiashara wadogo wadogo vikivunjwa pamoja na vituo vya mafuta na jengo la ofisi ya kampuni ya mabasi ya Shabiby.
Hata hivyo,wakati ubomoaji ukiendelea tunasubiri kuona kanisa kubwa la KKKT ambalo liko katika eneo ambalo vibanda vya wafanyabiashara jirani na eneo hilo vinavunjwa kama nalo litavunjwa.
Si hili kanisa tu,bali kuna majengo mengine katika eneo hili la Reli nayo tunasubiri kuona kama yatavunjwa ili kumkabidhi mkandarasi eneo la kujenga reli likiwa leupe kama wanavyodai.