Bomoabomoa Dodoma:Kanisa kubwa la KKKT hapa Dodoma mjini nalo litavunjwa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,878
2,000
Jana tumeshuhudia bomoabomoa ikiendelea hapa mkoani Dodoma kwa vibanda vingi sana vya wafanyabiashara wadogo wadogo vikivunjwa pamoja na vituo vya mafuta na jengo la ofisi ya kampuni ya mabasi ya Shabiby.

Hata hivyo,wakati ubomoaji ukiendelea tunasubiri kuona kanisa kubwa la KKKT ambalo liko katika eneo ambalo vibanda vya wafanyabiashara jirani na eneo hilo vinavunjwa kama nalo litavunjwa.

Si hili kanisa tu,bali kuna majengo mengine katika eneo hili la Reli nayo tunasubiri kuona kama yatavunjwa ili kumkabidhi mkandarasi eneo la kujenga reli likiwa leupe kama wanavyodai.
 
MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
3,774
2,000
Kanisa letu tumejenga kwa gharama kubwa na lipo pale miaka mamia inakuwaje leo mmoja aje abomoe. Alipe gharama ya jengo lile. Toka mkoloni jengo liko hapo
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,077
2,000
Kwanini serikali isihamishe hii miundo mbinu ya reli kupeleka nje ya Dodoma kama walivyofanya shirika la reli la Kenya ilipohamishia kituo kikubwa cha reli nje ya Nairobi?
 
Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,077
2,000
KENYA MAAMUZI YANATOLEWA NA WATAALAMU, HUKU KWETU KILA KITU TUMEWAACHIA WANASIASA AMBAO WENGI WAO WANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU
Mkuu nilitembelea kituo cha treni kipya Nairobi ni 20 km kutoka city centre na imejengwa kwa utaratibu mzuri na ardhi kubwa. Dodoma ni mji mkuu kwasasa na unatakiwa kupanuka Rahco wangejeka kituo kikubwa nje ya Dodoma badala ya kutia watu umasikini
Tanzania tuna sehemu kubwa za maeneo ambayo yanatakiwa kuendeleza.
Maendeleo hayaletwi na bomoa bomoa.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,054
2,000
Pepo la UHARIBIFU lipo kazini..
Huyu jamaa sijui ametokea wapi..
Tanzania chini ya huyu jamaa inakwenda kuwa maskini wa kutupa kabisa.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,770
2,000
Jana tumeshuhudia bomoabomoa ikiendelea hapa mkoani Dodoma kwa vibanda vingi sana vya wafanyabiashara wadogo wadogo vikivunjwa pamoja na vituo vya mafuta na jengo la ofisi ya kampuni ya mabasi ya Shabiby.

Hata hivyo,wakati ubomoaji ukiendelea tunasubiri kuona kanisa kubwa la KKKT ambalo liko katika eneo ambalo vibanda vya wafanyabiashara jirani na eneo hilo vinavunjwa kama nalo litavunjwa.

Si hili kanisa tu,bali kuna majengo mengine katika eneo hili la Reli nayo tunasubiri kuona kama yatavunjwa ili kumkabidhi mkandarasi eneo la kujenga reli likiwa leupe kama wanavyodai.
Usipoteze muda, kama jengo la TANESCO linaondoka, usitegemee anything less kama viko ndani ya hifadhi ya barabara.
Alafu mnona "TUNASUBIRI TUONE" zimezagaa sana ktk uzi wako??
Poleni sana 4UMovement.
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,612
2,000
images+%2819%29.jpg
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,785
2,000
Mkuu nilitembelea kituo cha treni kipya Nairobi ni 20 km kutoka city centre na imejengwa kwa utaratibu mzuri na ardhi kubwa. Dodoma ni mji mkuu kwasasa na unatakiwa kupanuka Rahco wangejeka kituo kikubwa nje ya Dodoma badala ya kutia watu umasikini
Tanzania tuna sehemu kubwa za maeneo ambayo yanatakiwa kuendeleza.
Maendeleo hayaletwi na bomoa bomoa.
TANZANIA NI NCHI YA ONE MAN SHOW, HAKUNA KUMPINGA mungu mtu. ATAKACHOAMUA NDICHO KINATAKIWA KIWE, HIVYO WATU WANAFANYA KUMFURAHISHA
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,785
2,000
Usipoteze muda, kama jengo la TANESCO linaondoka, usitegemee anything less kama viko ndani ya hifadhi ya barabara.
Alafu mnona "TUNASUBIRI TUONE" zimezagaa sana ktk uzi wako??
Poleni sana 4UMovement.
UNASHANGILIA UJINGA WAKATI KODI YAKO NDIO INATEKETEA, HIVI UNADHANI KUBOMOLEWA JENGO LA TANESCO WANAOINGIA HASARA NI WAPINZANI TU
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,336
2,000
Eneo palipobomolewa si lilikuwa eneo la shirika la reli ina maana na kanisa lilikuwa limekodi eneo?...
Kwa mstakabali unvyousema ina maana hadi General hospital itabomolewa nayo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom