Bomoabima mabondeni wananchi waathirika kiakili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193

Mwananchi

KERO.

Mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Mwongozo, Kelvin Morris (10) ambaye ni muhanga wa bomoabomoa ya Bonde la Mkwajuni akiwa ameshika tama baada ya kushindwa kwenda shule kutokana na kukosa vifaa vya shule. Picha Omar Fungo
 

Attachments

  • bomowabomowa mabondeni.jpg
    bomowabomowa mabondeni.jpg
    33.5 KB · Views: 58
dah ! inasikitisha kwakweli
hurumaa ukipita na gari ukiona hicho kibanda

Mwananchi with Alfred Nderingo and Abdallah Ahmad.
·
PICHA YA SIKU: MAKAZI
-------------------------------------------------------------------------------
Mmoja wa wahanga waliobomolewa nyumba katika eneo la Bonde la Mkwajuni akitoka katika kibanda anapoishi kwa sasa katika eneo hilo baada ya nyumba yao kubomolewa na yeye kukosa sehemu nyingine ya kwenda, kama alivyokutwa jana. Picha na Omar Fungo

‪#‎Mwananchi13Jan2016‬
 
Yule dereva wa tinga tinga wanaesema amepigwa kipapai sio kweli nadhani alipata maradhi ya mfadhaiko POST TRAUMATIC STRESS SYNDROME katakana na kuona jinsi wananchi walivyokuwa wanaathirika baada ya kuwavunjia nyumba zao!!
 
Back
Top Bottom