Bomoa Bomoa yaendelea kwenye nyumba za ibada leo ni msikitini Kimara

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Leo Tanroads wameanza Bomoa Misikiti yote ambayo viongozi wa dini ya Kiislam waligoma kuboma huu ni msikiti wa kimara mwisho

Tanroads.jpg
 
Wacha wabomoe
Time will tell . Lakini ni kwanin waliacha ujenzi ukafanyika?
 
Kakobe be careful lijamaa linaweza tangaza bomoa bomoa upande wako tu
 
Duh!

Mwaka wa nyumba kubomolewa kupisha ujenzi wa barabara - 2017

Mwaka wa ujenzi wa barabara kuanza baada ya makazi kubomolewa - unknown
 
Back
Top Bottom