KIPAUMBELE sir
Member
- Jan 1, 2016
- 80
- 12
Watanzania ni wasahaulifu sana.Azima ya serikali ya ccm ya awamu ya 5 ni kuijenga upya Tanzania ili iwe kama Dubai.Bomoa bomoa inayoendelea jijini ni kauli mbiu ya ccm ya "Hapa Kazi tu".Watanzania hayo ndio maendeleo tuliyoyachagua Na ubomoaji huu in Kwa miaka 5 .Naomba tumwunge mkono Mh. Magufuli ili abomoe vizuri nchi inyooke.Kidumu chama cha Mapinduzi CCM.