Bomoa Bomoa kwa maskini ila TAJIRI Bhakresa hapana

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
341
Kubomoa nyumba za watu wa chini halafu za mtu mwenye mali kuachwa na kuambiwa mzee wewe tutakupa siku 10 ubomoe. Hii inanikumbusha gap lililopo kati ya maskini na Tajiri. Hakika ndio Tanzania mpya. Alie nacho ataongezewa na asienacho hata kile alichonacho atanyangwanywa. Ndio utajiri ulivyo siraha hata kutenda haki. Hapo Pombe atoke Dodoma atwambie Chama ni Chama cha maskini.
 
Binadamu hatuko Sawa.

Nasikia, hata peponi au mbinguni hakuna usawa, maana nasikia wengine watang'aa kama jua, wangine kama nyota wengine kawaida sana.

Ila, kiwanda ni billions zimekiwekwa pale mkuu, kuhamisha mitambo siyo jambo la sekunde moja.

Ila sisi wenye nyumba huwa wakati mwingine tu wabishi sana.
 
Kwani hakupewa Notice! hakujua?? Niamini kabisa mwenye nacho anacho tu. Ndio maana umemtaja umemjua lakini wengine hawajulikani hawana pesa hawana umaarufu. Usitegemee kwa walimwengu hassa wa leo watoe haki hata siku moja ni binadamu tena wa sasa wameharibiwa na mabadiliko ya maendeleo. Omba mungu uishi kwa amani na weka matumaini yako kwa mungu utanusurika na mengi.
 
Kubomoa nyumba za watu wa chini halafu za mtu mwenye mali kuachwa na kuambiwa mzee wewe tutakupa siku 10 ubomoe. Hii inanikumbusha gap lililopo kati ya maskini na Tajiri. Hakika ndio Tanzania mpya. Alie nacho ataongezewa na asienacho hata kile alichonacho atanyangwanywa. Ndio utajiri ulivyo siraha hata kutenda haki. Hapo Pombe atoke Dodoma atwambie Chama ni Chama cha maskini.
Nilijua hatabomolewa kumbe naye inabomoka
 
Kubomoa nyumba za watu wa chini halafu za mtu mwenye mali kuachwa na kuambiwa mzee wewe tutakupa siku 10 ubomoe. Hii inanikumbusha gap lililopo kati ya maskini na Tajiri. Hakika ndio Tanzania mpya. Alie nacho ataongezewa na asienacho hata kile alichonacho atanyangwanywa. Ndio utajiri ulivyo siraha hata kutenda haki. Hapo Pombe atoke Dodoma atwambie Chama ni Chama cha maskini.
Hivi ndugu mfungwa, kweli tuanze kuumiza vichwa kujadili iwapo watu wanaovunjiwa wako ndani ya eneo LA reli au LA. Kwa uelewa wangu, maeneo ya reli yalikwisha pimwa hata kabla ya watu hao kuwepo miaka ya enzi za mjerumani. Sasa hao waliokuja kujenga pembezoni sidhani kama hawakujua kuwa ni wavamizi. Na isitoshe, kama kuna mtu anadhani kaingiliwa na mradi wa upanuzi reli si aende panapo husika ili apate Haki yake maana si kwamba Serikali imekurupuka usiku mmoja na kuanza ubomoaji.
Labda nikupe uzoefu mdogo, katika eneo LA Kinyerezi kuelekea songas kuna mahali kulikuwa na mabango ya kukataza watu wasijenge kwakuwa eneo hilo ni green zone. Kilichotekea ni kwamba mtu anang'oa lile bango na kuliweka pembeni akiendelea na ujenzi. Sasa sipati picha itakapofika wakati wa serikali kutaka waondoke. Kuna watu wabishi na wanapenda kujaribu kila kitu na ikibidi hata kuonja sumu. Ukowatetea watu ni lazima ujidhirishe iwapo wapo hapo kisheria au wababe. Ogopa sana Barabara, reli na maeneo yanayoitwa ya wazi, yanaweza kukusababishia pressure.
 
Thamani ni: Kwanini TAJIRI aachwe. Wakati sheria ni msumeno. Ndio utasema sheria kwa Tajiri hapana.
 
Kwahiyo wewe umemuona bakhresa tu pale..?? Hivi vile viwanda vyote vilivyopo line ile aliyoko bakhresa hujaviona,??

Pili, Bakhresa hakujenga pale jenho ambalo limefika relini wanakovunja, tena.kama ni mwenyeji wa dar au hapo Buguruni kwa.Bakhresa unapopasema unapajua kweli..??
Kwa ufupi ni kwamba Tanroads ndo waliisha mvunjia eneo la kiwanda chake ambao nilikuwa limezid (kiwanda cha maji ya uhai pale kilipokuwa zamani) hata Ukipita pale u pande wa barabarani unaona kuta zilizovunjwa kupisha eneo la barabara. Na hajawahi pingana nao toka wamvunjie pale nje (huwa wanauza mitumba wamachinga).

FYI: pale kwa Bakhresa Yale yalikuwa ni majengo ya NMC hivyo hakuna majengo mengine aliyojenga Bakhresa ambayo yameingia eneo la reli. Zaid ya kujenga jengo la kiwanda cha unga ambao ni ghorofa umoja jeupe matata sana na haliko upande wa RAHCO.

Buguruni pale palizid kwa uchafu, vibaka, uteja, nk. Bora pamesafishwa mapema.
 
Kubomoa nyumba za watu wa chini halafu za mtu mwenye mali kuachwa na kuambiwa mzee wewe tutakupa siku 10 ubomoe. Hii inanikumbusha gap lililopo kati ya maskini na Tajiri. Hakika ndio Tanzania mpya. Alie nacho ataongezewa na asienacho hata kile alichonacho atanyangwanywa. Ndio utajiri ulivyo siraha hata kutenda haki. Hapo Pombe atoke Dodoma atwambie Chama ni Chama cha maskini.
Ni chama cha maskini wakati wa kupigia kura chama tu kwenye maamuzi na maslahi mengine chama ni cha matajiri.
 
Cha mtema kuni watakionaaaaaaa. Ccm mbele kwa mbelee. Huu wimbo waliangalia mbali sana.
 
Thamani ni: Kwanini TAJIRI aachwe. Wakati sheria ni msumeno. Ndio utasema sheria kwa Tajiri hapana.
Wewe una ufahamu kiasi gani juu ya eneo LA bakhresa kama kajenga ndani ya reli au LA. Tumia facts wakati wa ku-argue sio hisia. Jamii forum is a think tank with a number of great thinkers. Usilete hisia hapa. Kama watu wana hoja, pako mahali sahihi pa kwenda. Bakhresa kama kavamia sidhani kama ataachwa maana hata Mimi ningekuwa kwenye kazi ya bomoa bomoa ningeenda kujengea jina kwenye kubomoa eneo LA bakhresa.
 
Back
Top Bottom