mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 341
Kubomoa nyumba za watu wa chini halafu za mtu mwenye mali kuachwa na kuambiwa mzee wewe tutakupa siku 10 ubomoe. Hii inanikumbusha gap lililopo kati ya maskini na Tajiri. Hakika ndio Tanzania mpya. Alie nacho ataongezewa na asienacho hata kile alichonacho atanyangwanywa. Ndio utajiri ulivyo siraha hata kutenda haki. Hapo Pombe atoke Dodoma atwambie Chama ni Chama cha maskini.