Bomoa bomoa Kibaha, Picha ya Ndege na Chalinze muda huu

Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
4,325
6,652
1457434647499.jpg
1457434676348.jpg
1457434699714.jpg
1457434722538.jpg
 
Picha(sanamu) ya ndege ilipona kweli? Vile ile picha au sanamu ya ndege iliyopo pembeni mwa barabara?
 
daaah, picha namba 3, nimeiona saloon ya mshikaji "ramso" huwa nikinyoa pale, nikiwa kbh, daaah, jamaa wapo close sana na Morogoro rd!
 
Tunapenda saana kuwafanya wenzetu masikini na ombaomba ili sisi wachache tuonekane Miungu watu.Magomeni kotaz tangu zivunjwe ni miaka mingapi na hakuna kilichofanyika mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom