Jana kulikuwa na mkutano wa "technical team" Tanzania nao walialikwa lakini jana hawakutokea kwa kuona ni mkutano usiokuwa na tija, badala yake team ya wafanyabiashara 40 kutoka Tanzania wameenda Uganda kutafuta fursa za biashara. Kutokuonekana kwa Tanzania mkutanoni kumewachanganya wakenya na sasa tarehe 4 April Uhuru anaenda kuzungumza na vigogo wa Total chini ya uenyekiti wa rais wa Ufaransa kuwashawishi wabadili nia ya kujenga bomba Tanzania.
Mie najiuliza kwa hiyo jamaa anaona si haki Tanzania kufanyabiashara na Uganda? hebu akina Lake Oil na Oil Com nendeni mumwambie huto tumafuta twake tutanunua tutusombe kwa maroli.
Mie najiuliza kwa hiyo jamaa anaona si haki Tanzania kufanyabiashara na Uganda? hebu akina Lake Oil na Oil Com nendeni mumwambie huto tumafuta twake tutanunua tutusombe kwa maroli.