Bomba la mafuta Uganda Tanzania laiva, mambo ni moto

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
Ni baada ya the mastermind wa hii region kumuweka M7 mtu kati juzi, hatimae kimeeleweka, maelekezo JPM aliyompa M7 juu ya Kodi na mambo mengine ysharakishwe ili shughuli iianze mara moja, hatimae juhudi zimezaa matunda na wadau wote kwa kauli moja wakiwamo total, tullow and the Co. wameazimia ujenzi uanze ASAP 🔥🔥🔥🔥💯💪

Wavimba macho mkae mkao wa kununa 😂😂

Uganda Says $3.5 Billion Tanzania Pipeline to Be Completed: RFI
By Kamlesh Bhuckory
September 8, 2019, 3:18 AM EDT

Yoweri Museveni, right, and John Magufuli
Yoweri Museveni, right, and John Magufuli Photographer: Tina Smole/AFP via Getty Images
A $3.5 billion project allowing exports of Ugandan oil via Tanzania will proceed after both countries held talks and met with businessmen, Radio France Internationale said, citing Uganda’s President Yoweri Museveni.

The statement by Museveni comes less than a week after reports about Total SA suspending the crude export pipeline from Uganda to Tanzania following the collapse of a deal to buy a stake in Tullow Oil Plc’s fields in Uganda.

Museveni, on a two-day visit to neighboring Tanzania, met with his counterpart John Magufuli and stated that the pipeline will be completed and that the situation is under the control of the Ugandan government. He thanked Magufuli for concessions made to oil companies for the project to materialize, RFI said, quoting Museveni.

Kabla ya kushangilia ni vema tukajua hizo concessions isije ikawa ni ahadi lukuki za kuja kutusumbua baadae.., Je unazo hizo concessions ?
 
Please wake me up when construction is started
Ni baada ya the mastermind wa hii region kumuweka M7 mtu kati juzi, hatimae kimeeleweka, maelekezo JPM aliyompa M7 juu ya Kodi na mambo mengine ysharakishwe ili shughuli iianze mara moja, hatimae juhudi zimezaa matunda na wadau wote kwa kauli moja wakiwamo total, tullow and the Co. wameazimia ujenzi uanze ASAP

Wavimba macho mkae mkao wa kununa

Mazuri ni lazima yasifiwe. Naimani wajukuu zetu watakuta mambo yatakayokisifia kizazi chetu kama tulivyokuta yaliyoachwa enzi za mwalimu
 
ujinga ulioje kusafirisha raw material na kuiuza kwa bei rahisi instead kuichakata na kuiza ikiwa product...
 
Limewatesa sana wakenya, ile mmesikia halipo mlifurahije, check ule Uzi ndio utajua liliwatesa watu gani zaidi. Chezea kunyang'anywa tonge mdomoni, lazima uteseke.

Sisi halitutesi maana nyie ndio mnazindua zindua na kuweka mawe ya msingi, mbwembwe na shangwe hata kuwazidi Waganda wenye mafuta halafu hatimaye ishara za kuangukia pua zilipojionyesha mkaanza hasira, hadi kumzomea M7, hehehe!!!
Sasa hapa mnasema mumeingia mkataba mpya kwa kuachia concessions zaidi, yaani mtavua mavazi yote na kubaki uchi lakini bado sana kabla kuanza kuchimba chimba mahandaki.
 
Ww ndio unateseka
Siku ambayo mlipigwa chini nilitegemea uwe umeachana na hiz story lakini wewe kila siku unachungulia ili ukute wenzio labda wawe wamefeli na hawatafeli

Kwa mbwembwe zote zile nilitegemea leo hii mafuta yawe yamefika Tanga, aisei mlisimamisha nchi yote full nyimbo za sifa, lakini hadi leo ni hadithi za alinacha, hapa tayari taarifa zinasema mumeachia concessions zaidi ili kubembeleza, hehehe hadi huruma.
 
Back
Top Bottom