Bomba la Gesi Mtwara:A "20 -Year Grace Period" ya Mkopo wa Exim Bank-China ni "Changa la Macho?!".

Ukiacha profit watakayotengeneza kwa riba wana kawaida ya uchukua zabuni kwenye miradi waliyowakopesha ili ikiwezekana robo tatu ya fedha hiyo irudi kwao.

Hiyo gesi itakuwa na muda gani wa kuitumia baada ya hiyo miaka 20 ?
 
Amavubi, usisahau hii pia!
................

Mkuu hii haya pia nimeichomoa kwenye hiyo 'attachment'. Je. Hizi RED na GREEN unazionaje ?

Still, in China, the rule of law is weak but does exist; the Chinese government has managed to prosecute the most corrupt officials. In Africa's weakest states, where the rule of law often simply does not exist and economic policy makers do not enjoy the same kind of independence from politicians as in China, this state-led business model could simply be a disaster-an invitation for rapacious governments.
 
Natamani kuwachapa viboko wanao hoji matumizi ya lugha ya Pasco kwenye tarakimu!Pasco yuko sahihi kwa kuwa

24Millioni [Kimaandishi] =24,000,000 [Tarakimu].Acheni uvivu naona siku hizi ishakuwa ugonjwa mtu akiaambiwa millioni 24,000,000 anaanza kutafsili -----

10=shillingi kumi
100= shillingi mia
1000=shillingi Elfu moja
10,000= shillingi Elfu kumi
100,000= Shillingi laki moja
1,000,000=shillingi millioni
10,000,000=shillingi millioni kumi
20,000,000=shillingi millioni ishirini

Hivyo kwa pasko yaweza kuwa 24 Million Dollars.
 
Mkuu hii haya pia nimeichomoa kwenye hiyo 'attachment'. Je. Hizi RED na GREEN unazionaje ?

Still, in China, the rule of law is weak but does exist; the Chinese government has managed to prosecute the most corrupt officials. In Africa’s weakest states, where the rule of law often simply does not exist and economic policy makers do not enjoy the same kind of independence from politicians as in China, this state-led business model could simply be a disaster—an invitation for rapacious governments.
Ni kweli kabisa hapo uliponukuu! Ndio sababu katika posts za hapo juu nimetoa mifano hai ya Wachina walio Tanzania. Wasipodhibitiwa hawa jamaa ni noma sana. Pesa za kujengea bomba wametoa wao na zabuni ya ujenzi wamechukua wenyewe. Kwa hio pesa yao wanabaki nayo kwa kiasi kikubwa!
 
Wanabodi, kwa hisani ya mwana jf mwenzetu,

Nimefanikiwa kutembelea huko na kuiona sura ya masharti ya kukopa kutoka Exim Bank ya Uchina, japo mimi sio mtaalam wa uchumi, ila there is something fishy!.

Unapewa mkopo mkubwa mnene wa masharti nafuu ya ajabu with grace period ya miaka 20 ndipo uanze kulipa tena kwa riba ndogo ajabu ya asilimia 01% tuu!.

Niliposoma masharti ya awali, nikakuta mfano huu mkopo wetu wa Dola bilioni 1.2 utaanza kulipwa mwaka 2032!, ila katika hii miaka 20 ya grace period, kila mwaka tunatakiwa kulipa ile interest ya 01% ya dola bilioni 1.2 ni dola milioni 1,200 kwa mwaka!. Kwa ile miaka 20 tuu ya grace period, tutakuwa tumelipa riba ya dola milioni 24,000,000 hapo ndio bado hatujaanza kulipa deni!.

Wachumi na wana mahesabu hebu angalieni hii kitu!, correct me if I'm wrong!, kumbe hicho kinachodaiwa kuitwa ni grace period ya miaka 20 huku tukilipa interest, sio grace period lolote, sii chochote!.

My Take:
Lengo sio kuibeza serikali tena mimi ni miongoni mwa wale ma supporter gesi ije Dar!, bali tunahitaji tuu uwazi Jee this time kwenye mkataba wa bomba la gesi, tumeingia mkataba wa aina gani?. Tutaulipa kwa miaka mingapi?, Ukipiga thamani ya mkopo ambao ni dola bilioni 1.2, kwa interest ya asilimia 01% kuanzia mwaka 2032, jee tutalipa deni kwa miaka mingapi?. Jee jumla tutakuwa tumelipa kiasi gani?!.

Nimechelewa kuiona hii thread, labda nichangie yanayohusiana na uchumi na kibenki.

  • Kwanza 1% ya $1.2 billion ni $12 million, ndiyo riba ya kila mwaka. Hivyo kwa miaka 20 ya mwanzo ni $240 million.

  • Grace period maana yake ni kwamba hautaanza kulipia principal+interest (P+I) mara moja, lakini interest lazima ulipe. Hakuna grace period ya interest, na huu ni utaratibu wa kibenki. Ukienda hata benki yoyote nchini ukaomba grace period, utaambiwa sawa lakini utatakiwa kulipia interest tu kwa kipindi hicho halafu baadae utaanza kulipa P+I. Ni kweli unaweza kuomba hata grace period ya interest lakini haina maana kwamba umesamehewa interest kwa kipindi hicho. Hakuna banking model ya namna hiyo popote duniani. Faida ya benki sasa itakuwa ni nini? Ukiona benki imekubali grace period ya P+I, maana yake interest will continue to be charged but both P+I will be deferred during grace period, hivyo utaanza kuzilipa hapo mbeleni. Hatari ya hii ni kwamba interest kwa kipindi cha grace inajiongeza juu ya Principal then you will continue to be charged interest over interest na mzigo utakuwa mkubwa. Ni bora ukalipia interest ili isiongeze mzigo kwako ndio maana benki zinapendelea utaratibu huu.

  • Kuhusu interest ya 1%..niongelee uzoefu wangu. Rate za USD ni ndogo ukilinganisha na TZS. Sababu ziko nyingi sana za kiuchumi ila mojawapo ni mfumuko wa bei ndani ya uchumi wa nchi inakotoka fedha husika. Pili, gharama ya kupata fedha husika. Kwa Tanzania, wakopaji wazuri na wenye pesa zao wanaweza kukopeshwa kwa USD hata kwa 5%. Kwa makampuni makubwa ya nje wana negotiate na kukaba hata 3.5% wanapewa. Sasa, katika taratibu za kukopesha wataalamu wa benki kuna factor nyingine huwa wanaangalia..extras/connection. Hivyo kama kampuni inaweza kukopa tena kwa pesa za humu Tanzania at 3.5%-5%, sioni tatizo kwa serikali kukopa at 1% kwa sababu ya low risk and connections. Zaidi sana huu ni mkopo wa muda mrefu. Mikopo ya muda mrefu huwa na riba nafuu ukilinganisha na muda mfupi..si mmeona wenyewe 1% lakini $240 million kabla hata mkopo haujaanza kulipwa.
 
Nimechelewa kuiona hii thread, labda nichangie yanayohusiana na uchumi na kibenki.

  • Kwanza 1% ya $1.2 billion ni $12 million, ndiyo riba ya kila mwaka. Hivyo kwa miaka 20 ya mwanzo ni $240 million.

  • Grace period maana yake ni kwamba hautaanza kulipia principal+interest (P+I) mara moja, lakini interest lazima ulipe. Hakuna grace period ya interest, na huu ni utaratibu wa kibenki. Ukienda hata benki yoyote nchini ukaomba grace period, utaambiwa sawa lakini utatakiwa kulipia interest tu kwa kipindi hicho halafu baadae utaanza kulipa P+I. Ni kweli unaweza kuomba hata grace period ya interest lakini haina maana kwamba umesamehewa interest kwa kipindi hicho. Hakuna banking model ya namna hiyo popote duniani. Faida ya benki sasa itakuwa ni nini? Ukiona benki imekubali grace period ya P+I, maana yake interest will continue to be charged but both P+I will be deferred during grace period, hivyo utaanza kuzilipa hapo mbeleni. Hatari ya hii ni kwamba interest kwa kipindi cha grace inajiongeza juu ya Principal then you will continued to be charged Interest over interest na mzigo utakuwa mkubwa. Ni bora ukalipia interest ili isiongeze mzigo kwako ndio maana benki zinapendelea utaratibu huu.

  • Kuhusu interest ya 1%..niongelee uzoefu wangu. Rate za USD ni ndogo ukilinganisha na TZS. Sababu ziko nyingi sana za kiuchumi ila mojawapo ni mfumuko wa bei ndani ya uchumi wa nchi inakotoka fedha husika. Pili, gharama ya kupata fedha husika. Kwa Tanzania, wakopaji wazuri na wenye pesa zao wanaweza kukopeshwa kwa USD hata kwa 5%. Kwa makampuni makubwa ya nje wana negotiate na kukaba hata 3.5% wanapewa. Sasa, katika taratibu za kukopesha wataalamu wa benki kuna factor nyingine huwa wanaangalia..extras/connection. Hivyo kama kampuni inaweza kukopa tena kwa pesa za humu Tanzania at 3.5%-5%, sioni tatizo kwa serikali kukopa at 1% kwa sababu ya low risk and connections. Zaidi sana huu ni mkopo wa muda mrefu. Mikopo ya muda mrefu huwa na riba nafuu ukilinganisha na muda mfupi..si mmeona wenye 1% lakini $240 million kabla hata mkopo haujaanza kulipwa.
Mkuu Mpango, asante kwa ufafanuzi. Kwa vile kimenuka, I hope all the cards zitawekwa Watanzania tujue. Mkopo huo utaanza kulipwa 2032 na labda utalipwa kwa miaka 80!, hivyo interest peke yake itakuwa ni $240,000,000 x 5 ambayo ni 1.2 bilion hivyo usikute interest ni 100%!. Deni linalipwa ndani ya miaka 100!. Naomba niwape siri nyingine ambayo serikali haijathubutu kuisema!, msiwe na wasiwasi, msikute hatulipi hata senti moja, bali Wachina, wataruhusiwa kusomba gesi equivalent to deni lao kwa muda huo wa miaka 100!. Sio siri, tumeuzwa!, sisi na watoto wetu na watoto wa watoto wetu!.
Pasco.
 
Asante mkuu..ndio maana nikasema kwenye kukopesha watu wa benki wanaangalia pia extras. Sasa kama extras ziko kibao, interest wanaweza hata wakakupa 0.5%, ukiwapa fursa nyingine. Hii inaitwa loss leadership..kosa hapa au pata kidogo hapa ili unufaike baadae!

Na kwa nini mkopo uwe wa muda mrefu hivyo? Nini payback period ya mradi? Unajua, mambo mengine huwa yananiuzunisha lakini basi. Kukosekana kwa mikataba na taarifa mara nyingi kunatunyamazisha wengi wetu kwa kigezo cha 'no research no right to speak'.
 
Mkuu Mpango, kama gesi tuu yenyewe inathamani, hiyo 20 year grace period ya nini!?.
There is something fishy!, and we got to go to the bottom of it!.
Pasco.
 
Mkuu ZZK, nakuona upo, na leo nimekusikia!, TPDC iko chini yako, tuambieni ukweli ni nini kinaendelea!.
 
Halafu OMARI NUNDU alikuwa anataka kushindana na hawa watu?
Cha moto alikipata!. Watakacho fanya sasa,
  1. Watatishia kujitoa mpaka government iwape guarantee ya usalama wao, utulivu na amani!.
  2. Serikali itawaambia ni chama fulani ndicho kinachochea vurugu na sio watu wa Mtwara, Wachina wanaweza ku deal na hicho chama the mafia style!.
  3. Au Wachina watauliza ni wapi penye uzia, watapenyeza rupia!
Tusubirie tuone!.
P.
 
Hii Grace period ni lazima ifike hiyo miaka ishirini au tumepewa tu na hivyo tukiwa tayari kuanza kulipa deni mfano baada ya miaka mitano tunaweza kufanya hivyo na kupunguza makali?

inaruhusiwa mkuu tena ni vema sababu unawapunguzia risk.
 
Kuna document moja ya msingi sana kuhusu maslahi ya China katika Afrika. Ina somo zuri sana la namna ya kuichukulia kwa tahadhari misaada ya China kwa Afrika. Mwenye nafasi na aisome ni nzuri sana, naiweka hapa kama attachment

Thank you
 
if you send a foolish house boy to the market, the merchant rejoice!!!! Let the chinese rejoice!
 
Mkuu Mpango, asante kwa ufafanuzi. Kwa vile kimenuka, I hope all the cards zitawekwa Watanzania tujue. Mkopo huo utaanza kulipwa 2032 na labda utalipwa kwa miaka 80!, hivyo interest peke yake itakuwa ni $240,000,000 x 5 ambayo ni 1.2 bilion hivyo usikute interest ni 100%!. Deni linalipwa ndani ya miaka 100!. Naomba niwape siri nyingine ambayo serikali haijathubutu kuisema!, msiwe na wasiwasi, msikute hatulipi hata senti moja, bali Wachina, wataruhusiwa kusomba gesi equivalent to deni lao kwa muda huo wa miaka 100!. Sio siri, tumeuzwa!, sisi na watoto wetu na watoto wa watoto wetu!.
Pasco.

Mkuu Pasco nimekosa nguvu ghafla mood yote imepotea...yani sijui viongozi wetu wana maono gani sijui nani ana uchungu wa kweli na rasilimali zetu? inauma sana yani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom