Boma langu ambalo nililitangaza hapa, nimeliuza Mil 8

Achana na wanaoongea bila kuijua biashara,

La muhimu hapo ni wewe kuchukua muda kuisoma biashara, mtaji wa 5M ni mkubwa weka angalau 3M the rest weka fixed account, dont be tempted kuongeza mtaji wa biashara atleast for a year, na ukiongeza usiongeze the rest of the money bali ongeza robo ya akiba yako then utaongeza kidogo kidogo namna hiyo mpaka ukomae ktk business.

La msingi: It takes 3-5 years kumaster any business, au kujua mzunguko halisi wa biashra, after this period ndo utajihesabu kama mfanyabiashara kamili. before that jihesabu uko kwenye practical training ya business.
 
bucha 3....Baadhi ya mikoa kuna watu wana zaidi ya kumi na wako fresh kwa level zao...Ila kumudu hiyo biashara kuna itikadi zake....hufanyi tu hivi hivi....siku muulize kiaina akikujibu nijulishe
Kama swala ni kuangamiza roho.

KFC wauzaji wa kuku maarufu dunia nzima wanachinja kuku kila siku.

IKEA wauza samani wanajulikana dunia nzima wanakata miti kila siku.

Hili swala la kiroho haliingii katika mfano wa hizi biashara mbili nilizotaja?

Wafugaji, haswa wasukuma na wamasai huweza kua na ng'ombe zaidi ya 90 lakini hali zao za kimaisha si zilitakiwa ziwe juu kwakua hua hawachinji mifugo yao?

India haichinji ng'ombe si ingekua imepiga hatua zaidi kimaendeleo ukilinganisha na nchi inayochinja ng'ombe kama China?
 
Yaani hapa JF watu tumechafukwa na kama sio kwa akili basi roho aisee mawazo yenu niliyaheshimu sana mwanzo ila kutokana na changamoto za maisha haikuwa na budi kuamua kwa hichi nilichokiamua
Mzee achana na hizi komedi za hawa watu. Ushauri ni huu hapa.
Achana na wanaoongea bila kuijua biashara,

La muhimu hapo ni wewe kuchukua muda kuisoma biashara, mtaji wa 5M ni mkubwa weka angalau 3M the rest weka fixed account, dont be tempted kuongeza mtaji wa biashara atleast for a year, na ukiongeza usiongeze the rest of the money bali ongeza robo ya akiba yako then utaongeza kidogo kidogo namna hiyo mpaka ukomae ktk business.

La msingi: It takes 3-5 years kumaster any business, au kujua mzunguko halisi wa biashra, after this period ndo utajihesabu kama mfanyabiashara kamili. before that jihesabu uko kwenye practical training ya business.
 
Mm mara ya mwisho nikawa nina pesa ya km 7m, ikarudi home nilikozaliwa.... nikamuuguza bi mkubwa (sisi wazee wetu wanaugua karibia kila siku)...nikatumia km 1m. Nikaondoka zangu, nikaenda mkoa wa moro wilaya mojawapo nikanunua uwanja robo ekari nikajenga kijumba cha chumba kimoja sikuezeka nikasepa, nikaenda mkoa mwingine nikanunua robo ekari sijaendeleza nikasepa. Nmeenda ugenini nikiwa nmebakiwa na 2m. Ndio nikaanza nayo naendelea na maisha ya town, Nilikuwa nina vitendea kazi vingi so nikafungua biashara ndogo ambayo watu wa kipato cha chini hawataishangaa watajiona hata wao wanaweza fungua lakini wakijaribu hawawezi. Nime invest most ktk akili, maana ni mtaalam wa maswala ya IT yaani matumizi ya computer na electronics kwa ujumla...ila sikusomea hayo. IT ipo kwenye damu,.....hivyo nikajikita upande huo ambao nina utaalamu wa kuzaliwa ndio nina kibanda cha electronics kwa kutatua matatizo mengi ya hizo issues especially softwares.

Kumbuka nilianza na 2m. Nipo napiga kazi,
Usije ukadumbukiza pesa yote kwenye biashara ambayo hujawahi kuifanya yaani ndio unaingia unaianza. UTAUMIA, be carefully mkuu
 
Mara moja mjomba'angu mchumi aliniambia maneno haya "kuuza assets hakumalizi matatizo au shida ulizonazo kwa wakati huo,ila utajiongezea matatizo zaidi ya baadae".

Hii kauli nimejikuta naiheshimu sana maana hata kiuhalisia naiona kwenye maisha yangu coz kama kuna kitu nilikifanya let's say 2013 nikakiweka kwenye himaya yangu leo siwezi tena kukifanya maana kila siku majukumu yanaongezeka sana....

Je,umeuza nyumba yako umeenda kufanya biashara kitu ambacho ni risks sana kwa hela yako,kuna wakati huwa nakaa mfukoni sina hata mia ila nikikumbuka nina hiki nina kile basi najifariji tu.Mungu akuongoze ktk hii biashara yako mpya uliyoianzisha ila next time ukiwa na kitu usikifanyie mzaha hata mara moja hasa hasa hivi vitu vinavyohusu ardhi.
 
Yeye kasema nyumba ameshauza sasa mtu mwingine huku anatoa ushaur eti kwanini asingepangisha' msimkatishe tamaa na biashara ya mkaa weng wametoboa nawajua
 
Napenda tu kuwapa taarifa kuwa Boma langu ambalo nililitangaza hapa mwezi wa 4 kwa kuwaomba Ushuri juu ya kuiza kwani Nimeliuza Boma langu na kwa 8.7M na Pesa niliyoiza nimeamua kufanyia Biashara ya kuchukua Mkaa na kuuza Jumla hadi hivi sasa nina mwezi mmoja. Sasa maombi yenu Mambo yaende sawa nisije Filisika. Ahsante pia napokea mawazo ya kibiashara zaidi co nimebakiza 3M pending.
kiben10
Kwa umeuza boma au vyote na kiwanja kwa M8
 
Napenda tu kuwapa taarifa kuwa Boma langu ambalo nililitangaza hapa mwezi wa 4 kwa kuwaomba Ushuri juu ya kuiza kwani Nimeliuza Boma langu na kwa 8.7M na Pesa niliyoiza nimeamua kufanyia Biashara ya kuchukua Mkaa na kuuza Jumla hadi hivi sasa nina mwezi mmoja. Sasa maombi yenu Mambo yaende sawa nisije Filisika. Ahsante pia napokea mawazo ya kibiashara zaidi co nimebakiza 3M pending.
kiben10
Ndo maana ulitumbuliwa, akili huna
 
Hiyo mil 8.7 ibarikiwe ije kuwa mil 80...na itakuwa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom