Bollen Ngetti CCM maarufu kwa kuikosoa Serikali na chama chake mitandaoni anusurika kifo baada ya gari lake kugongwa na gari lililokuwa likiwafuatilia

Mbona ni miaka 60 mmeshindwa

Mlivyo ' Wapuuzi ' yaani mkishajua tu kuwa Fulani ni ' Mkosoaji ' wa Serikali ya Awamu hii basi akipatwa na hata tatizo linalotokana na ' Upopoma Uwandamizi ' wake au hata la ' Kibinadamu ' tu ( accidentally ) haraka sana mtalihusianisha na kwamba CCM au ' Security Organs ' za nchi zimehusika kwa 100%. Waswahili mna taabu mno kama siyo sana na sishangai ndiyo maana nchi Jirani zinawadharau mno kwani mnawekeza katika Majungu, Fitna na Harakati za ' Kipopoma ' badala ya Kupambana Kujenga nchi kwa Maslahi mapana ya Mama Tanzania.
 
Uzinzi, upumbavu, urofa, na ushirikina ndo vimekithiri nchi hii, utakuta mtu ni msomi lakini anachangia hoja Kama akili yake iko matakoni, si lazima kachangia hoja zote Kama huna uhakika, pia ni vema kachangia ukiangalia wenzako wameanzia wapi pia je Kuna uhakika au la, maana kesho likijibiwa kivingine na WWE umechangia ujinga hivi utajisikiaje mwenyewe. Huo ndo urofa,
 
Katika Kiswahili Sanifu na Fasaha huwa hatuna neno ' Urofa ' kama uliloliandika Wewe hapo bali tuna neno sahihi na zuri la ' Ulofa '. Siku zinigine unapokuwa unasema kuwa Watu wawe na umakini katika Uchangiaji Wao basi hakikisha na Wewe pia uwe uko vizuri na huna Mapungufu yoyote ili usije ukachekwa na hadi kuonekana ni ' Popoma Mwandamizi ' kama walivyo wengineo wengi tu.

Yaani ulichokifanya hapa ni sawa na Kukemea Watoto wa Jirani yako kwa tabia yao mbaya ya Kukojoa Vitandani mwao wakati kumbe Wewe Nyumbani Kwako Mwanao ndiyo ' ametukuka ' kabisa kwa ' Kujinyea ' KItandani kiasi kwamba Wadada wa Kazi wote wanaokuja Kufanya Kazi Kwako hulazimika Kukimbia kwa Kuchoka kila Uchao Kufua ' Mimavi ' ya Mwanao ' Baby Kunya Kunya ' hovyo.
 
Pole Sana Gentamicin Kama hili limekugusa, kuhusu uandishi pengine ni kutokana na kabila langu, la pili ni kwamba watu nilizani hili jukwaa ni la kujenga kumbe ni la majungu, leo nikisema gentamycin kashikwa kaiba utaona matusi yatakayokuja kwako bila tafiti Ili mladi tu uko upande Fulani, kumbe nimedanganya, Sasa hapo tunajenga au? Mashambulizi bila ukweli yanafanya serikali na wakosoaji kila upande kuonekana kila kitu ni majungu, serikali itasema uongo wakosoaji watasema uongo Sasa hakuna jipya, ebu fikilia mtu kasema huyo kagongwa kwa kukosoa, kwa hiyo ajali zote kwa Sasa na matukio ni serikari au? Kuna vitu vingine watu wapeleke kwenye ma group yao Kama chadema in blood na friends of ccm, huko ndo sehem zao.
 
Mlivyo ' Wapuuzi ' yaani mkishajua tu kuwa Fulani ni ' Mkosoaji ' wa Serikali ya Awamu hii basi akipatwa na hata tatizo linalotokana na ' Upopoma Uwandamizi ' wake au hata la ' Kibinadamu ' tu ( accidentally ) haraka sana mtalihusianisha na kwamba CCM au ' Security Organs ' za nchi zimehusika kwa 100%. Waswahili mna taabu mno kama siyo sana na sishangai ndiyo maana nchi Jirani zinawadharau mno kwani mnawekeza katika Majungu, Fitna na Harakati za ' Kipopoma ' badala ya Kupambana Kujenga nchi kwa Maslahi mapana ya Mama Tanzania.
Waambie Mwingereza
 
Mwezi bado unaandama dah
 
Back
Top Bottom