The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 613
- 1,776
Aliyekuwa Rais wa Bolivia, Evo Morales
Katika ukurasa wake wa Twitter Rais Morales amesema: ‘’Ninaenda Mexico, nashukuru kwa ndugu zetu hawa kutupatia hifadhi kuokoa maisha yetu. Inaniuma kuiacha nchi yangu kwa sababu za kisiasa, ila siku zote nitaguswa. Nitarudi hivi karibuni nikiwa mwenye nguvu zaidi’’
Morales alilazimshwa kujiuzulu baada ya majuma kadhaa ya kumpinga kufuatia matokeo ya uchaguzi yaliyozua mgogoro, jambo lililosababisha jeshi ‘kumshauri’ kuachia nafasi hiyo.
Pamoja na kuutuhumu upinzani kwa kula njama za kumng’oa madarakani na kusisitiza alishinda kwa uhalali uchaguzi wa Oktoba, Morales hakuwa tayari kuachia ngazi ili kupunguza ghasia nchini mwake.
=====
Former Bolivian President Evo Morales has announced his departure to Mexico, where he has been granted asylum, after opposition protests and military officials’ pressure forced the socialist leader’s resignation.
Following his abrupt resignation over the weekend, Morales said he would flee Bolivia to take up the Mexican government’s offer for political asylum extended earlier on Monday, but promised to return with renewed energy. Mexico’s Foreign Minister confirmed that Morales had boarded a Mexican government aircraft “sent to ensure his safe transfer to our country.”
“Sisters and brothers, I leave for Mexico,” Morales said in a tweet on Monday night, adding he was “grateful” to Mexico for providing asylum and “[taking] care of our lives.”
It hurts to leave the country for political reasons... Soon I will return with more strength and energy.
Morales was forced to resign from his post after weeks of opposition protests over a disputed election result, which culminated in military leaders 'advising' the embattled president to step down. While slamming the opposition forces as coup plotters and insisting he won October’s election fair and square, Morales nonetheless agreed to resign in order to calm tensions across the country.
Hectic protests and clashes between rival activists have continued in cities around Bolivia even after Morales’s resignation. In La Paz on Monday night, security forces and opposition protesters erected barricades in the streets in preparation for a large confrontation, as thousands of Morales supporters march toward the city.
Chanzo: Russia Today
Pia soma:
Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo
November 10, 2019 La Paz, Bolivia Jeshi lamlazimisha Rais kujiuzulu Bolivia Rais wa Bolivia Mhe. camarade Evo Morales ameachia ngazi bila kutegemea leo jumapili na kutangaza kujiuzulu kufuatia mbinyo wa kisiasa baada ya kudai kuwa ameshinda uchaguzi kwa kipindi cha nne, uchaguzi na matokeo yake...
www.jamiiforums.com