BOLIVIA : Rais Morales anaswa akitazama video za ngono mahakamani

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,415
2,000
Rais wa Bolivia, Evo Morales amekumbwa na fedheha kubwa baada ya simu yake kutoa sauti zinazoaminika ni za watu wanaofanya ngono wakati akiwa ndani ya mahakama

Mkasa huo umetokea wakati Rais huyo akiwa katika mazungumzo na wanasheria wa kimataifa kabla ya kuchukua simu yake na muda mfupi sauti za mwanamke na miguno zinasikika kutoka kwenye simu hiyo ndipo ghafla akaitupa chini

Video hiyo iliyovujishwa na mtandao wa LiveLeak. com imewaacha watu wengi waliokuwa ndani ya mahakama hiyo wakicheka kufuatia tukio hilo huku baadhi wakiishia kuguna
Itazame hapa video hiyo ya mkasa wa Rais Bolivia.
 

conductor

JF-Expert Member
May 29, 2013
548
500
Tatizo lake nikutojiamini maana watu wengi wanaangalia hizo picha. Tena kama angechulia poa hata scandle isingezagaa zaid. Amin unachofanya.
 

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,469
2,000
Rais wa Bolivia jembe sana

Mwaka 2014 alipewa mkataba na timu inayoshiriki ligi kuu na aliandaliwa mshahara lakini alikataa


Rais Morales alimtimua balozi wa USA nchini kwake pia akawatimua watu wa USAID

Mwaka 2014 kwenye mkutano wa umoja wa Mataifa morales alimuita Obama imperialist

Marais wa Amerika kusini majembe sana wanafanana kitabia kuanzia Morales ,Chavez,Fidel makauzu hawana aibu ,

Hapo kwenyewe itakuwa kachukulia poa tu
 

upendodaima

JF-Expert Member
May 23, 2013
4,028
2,000
Bila shaka xvideos.com itaendelea kuwa mtandao unaotembelewa zaidi Tanzania mpaka hapo sijui lini.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,919
2,000
Watanzania wakimpata huyu rais sidhani kama watalalamika juu ya utawala wake. Manake matendo yao yanafanana ya rais na wananchi kwa ngono.:p:D:D
 

INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
5,004
2,000
Unaweza kukuta cia wamemtumia scarm yeye akajua hata bonge la news kufungua majanga
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom