Bold decision: Serikali ije na muswada rasmi na katazo la biashara barabarani

Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
44,680
2,000
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Enzi za mwendazake tulipinga, mkamsapoti hasa wewe, halafu Leo unaropoka hapa! Ccm acheni unafiki, mnawaumiza sana watu wa kipato cha chini, imagine mliwaruhusu wakaweka biashara zao wakaweka mitaji yao, Leo hii mnawaondosha kwa nguvu
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,739
2,000
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sheria za kusimamia hilo zipo ni suala la mamlaka husika kusimamia utekelezaji badala ya kupoteza muda na resources kutunga sheria nyingine ambayo akitokea kiongozi mjinga haitasimamiwa vile vile!

Vitambulisho vya machinga vipo au vilianzishwa kwa sheria ipi? Jambo kubwa kama lile linaanzishwa na kutekelezwa kwa kauli za mdomoni chanzo cha kuendelea kukomaa kwa tatizo. Sheria zisimamiwe ipasavyo!
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
58,486
2,000
Sheria zipo sema hazisimamiwi/kutekelezwa

Issue ya wamachinga miluzi inakuwa mingi

Kutoka kwa wanasiasa

Kumbuka walichangishwa 20000 na waliambiwa

Wauze bidhaa zao popote,tuliona wamChinga

Wakitundika bidhaa zao mpk kwenye waya za

Umeme

Ova
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
10,702
2,000
Kuondokana na adha ya ushindani wa kisiasa kupitia wamachinga Serikali ije na muswada rasmi Bungeni utakaokataza biashara kupangwa barabarani.

Sheria hiyo iweke fine /adhabu kwa muuzaji na mnunuzi wa barabarani.

SAD AND PAIN BUT TRUTH!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sheria ipo na inasimamiwa na serikali za mitaa, tatizo ni serikali za mitaa zilinyang'anywa madaraka ya kusimamia miji na majiji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom