hahaha Boflo, rudisha ile ndosi ya Zizou kwa Matterazi
tena watu8 bora umekuja!mi yani ananiudhi siku nyingi tu nimevumilia nimeshindwa na kuonyesha kuwa kaniudhi kwa mara ya kwanza kwenye thread hii haitakuwa hna ahahahhahahhahahha wala nini!NIMECHUKIA SANA BANA!ah:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
Ww Preta acha uwongo bana, umeniambia jana unakuja Runaway, nimekurupuka usiku na kwenda kukusubiri
hukutokea, si bora ungeniambia ukweli tu.. Kiingilio pale ni wekundu 2
nilikuja.....he!...nashangaa mwezangu sikuoni....na mbona hukuniambia kama umefika.....?
Hivi Nicas umepata ujumbe wangu? Usipikutwe na Bwana pepsi!
Nimeupata kaka. Bdo nipo ng'ambo. Cjatnga mle. Ila nitajtahdi kukuletea kama ambacho nitakuwa nacho huku.