Boflo rudisha avatar ya zidane!

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,687
23,568
umeniudhi sana!
umenisikitisha sana!
na ukibisha........................................................................................................................ Preta njoo mwaya !
 
Last edited by a moderator:

nimekuja shosti.... Boflo rafiki yangu sana.....lakini alontenda jana.....najuta kumfehemu.....
 
Last edited by a moderator:
Wenye shari utawajua tu! Zinedine na Materazzi walishapata nyie mnashadadia waendelee kulipuana!...Afu we snowhite sikujua ww mgomvi.
 
mi sio mgomvi best!ila Boflo nilikuwa nimemzoea kwa ile avatar hizi nyingine mi naona ananizingua tu!
 
Last edited by a moderator:
hahaha Boflo, rudisha ile ndosi ya Zizou kwa Matterazi

tena watu8 bora umekuja!mi yani ananiudhi siku nyingi tu nimevumilia nimeshindwa na kuonyesha kuwa kaniudhi kwa mara ya kwanza kwenye thread hii haitakuwa hna ahahahhahahhahahha wala nini!NIMECHUKIA SANA BANA!ah:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Last edited by a moderator:
nimekuja shosti.... Boflo rafiki yangu sana.....lakini alontenda jana.....najuta kumfehemu.....

Ww Preta acha uwongo bana, umeniambia jana unakuja Runaway, nimekurupuka usiku na kwenda kukusubiri
hukutokea, si bora ungeniambia ukweli tu.. Kiingilio pale ni wekundu 2
 
hukutokea, si bora ungeniambia ukweli tu..

we mbwelambwela tu!lakini mi nataka avatar ya zidane!na kimsingi muda si mrefu natoa ultimatum!ndo akili ikukae vizuri!
 
tena watu8 bora umekuja!mi yani ananiudhi siku nyingi tu nimevumilia nimeshindwa na kuonyesha kuwa kaniudhi kwa mara ya kwanza kwenye thread hii haitakuwa hna ahahahhahahhahahha wala nini!NIMECHUKIA SANA BANA!ah:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
Loh kweli bi mkubwa umechukia, Boflo hebu mfikirie mtani wangu...
 
Last edited by a moderator:
Ww Preta acha uwongo bana, umeniambia jana unakuja Runaway, nimekurupuka usiku na kwenda kukusubiri
hukutokea, si bora ungeniambia ukweli tu.. Kiingilio pale ni wekundu 2

nilikuja.....he!...nashangaa mwezangu sikuoni....na mbona hukuniambia kama umefika.....?
 
Boflo yupo bize
A4chsiCCEAA0107.jpg:large
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom