Boeing walituahidi ndege ya nyongeza, imeshafika?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,272
47,268
Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.

CC: Msemaji wa serikali.
 
Ndege nyongeza haitakabidhiwa mpaka wakabidhi ndege nyingine 2020. Kiufupi mpaka wamalize order ndio utaratib mwingine ufike
 
Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.

CC: Msemaji wa serikali.
Wewe kama hufanyi kazi hii kwa kulipwa, basi ni mjinga....!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom