Inatosha kudharua siasa uchwara za Zitto kwa misingi kwamba:Wakati ndio msema kweli, IPO siku tutajua kati ya zitto na hao wengine nani mkweli.........zilikanushwa tarifa za EPA,ESCROW na bado muda ukatuamulia......hata hili wakati ukifika ukweli utajulikana.
Acha ujinga....Hao Wakaguzi wakibongo Wanafanyeje hapo? Ukute hata lugha ni ngumu kuielewa Halafu unaambiwa wako pale
Hivi huyo Zitto anafahamu issue ya ndege tu kupata ajali... haya mashirika lazima tena yafanye uchunguzi...Inatosha kudharua siasa uchwara za Zitto kwa misingi kwamba:
1) Boeing ni kampuni kubwa yenye heshima yake katika utengenezaji wa ndege.
2) Ununuzi wa ndege hauwezi kulinganishwa na ununuzi mwingine, kama gari, ambao Mh Zitto labda ameufanya.
3) Sifa za ndege kuruhusiwa kuruka ni sawa (specifications) au karibu na za dawa za binadamu. Hivyo umakini mkubwa unakuwepo katika utengenezaji wake kabla ya kuruhusiwa kuruka.
4) Ndege hutengenezwa kwa vipuri mbalimbali, kutoka kwa makampuni tofauti, ambako moja ya sharti kuu ni ubora wa kila kipuri.
Tusilinganishe utengenezaji wa ndege na jinsi siasa zinavyoendesha hapa nchini na porojo za humu JF.
Hao Wakaguzi wakibongo Wanafanyeje hapo? Ukute hata lugha ni ngumu kuielewa Halafu unaambiwa wako pale
BAE did the same to our country. FYI kampuni kubwa ni hatari tena pale inapoona transaction is one time only! I dont see Tz ikirudi kununua ndege zaidi! They cannot do that to China kwa kuwa Chinese wanaagiza ndege lukuki!Zitto kabwe ni mwanasiasa mnafiki na mbinafsi wa fikra sana,
Kampuni kubwa duniani ya Boeing ifanye mambo ya kipuuzi kama siasa za kibongo? Hao ni wazungu na wako straight kwenye mambo yao ya biashara, zitto acha upotoshaji kwa umma, mmezoea kudanganya watanzania acha kuchafua viwanda vya watu vinavyoaminika duniani.
ATCL fungueni mashitaka dhidi ya huyu mpotoshaji na kampuni ya Boeing watakuwa mashahidi wenu namba moja.
Na nani aliyerejesha ile chenji kama sio huyo huyo mzungu.Umesahau rada tulipigwa na wazungu tena Waingereza? Au unajitoa tu ufahamu?
Kwahiyo?Na nani aliyerejesha ile chenji kama sio huyo huyo mzungu.