Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Zitto Kama Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 03/05/2017 aliandika tweet hii kwenda kampuni ya Boeing kupitia account yao ya twitter na mpaka sasa hawajamjibu.
" [HASHTAG]#BoeingAirplane[/HASHTAG] did you approach us?Where you approached?Did you bid?What procurement process?Is 787-8 Dreamliner a TT?"
Hiyo ndio tweet ya Zitto kwenda kwa kampuni ya Boeing.
Binafsi nimevutiwa na hilo swali la mwisho la kuwataka Boeing wathibitishe kama ndege walioutuuzia ni Terrible Teens kwa kifupi TT?
Pia kupitia mtandao huo wa twitter, Zitto kamtaka waziri Mbarawa atoe ufafanuzi mbona Line Number ya ndege ya Tanzania inayoonekana katika mtandao [HASHTAG]#BoeingAirplane[/HASHTAG] www.abcdlist.nl/787LINE.html ni 19 na sio 719 na waziri nae naona hajamjibu mpaka sasa.
Zitto anatafuta majibu tusimbeze.
Nime-copy na ku-paste hizo tweets kama zinavyoonekana hapa chini.
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
@BoeingAirplanes did you approach us? Were you approached? Did you bid? What procurement process? Is 787-8 Dreamliner a TT? [HASHTAG]#transparency[/HASHTAG] twitter.com/zittokabwe/sta…
View details ·
Znitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
The sale follows private meetings that Jim Deboo, Africa director for Boeing (NYSE: BA), held with Tanzania President John Magufuli 5/12/16
View details ·
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
Can you please come public on which aircraft you sell to Tanzania? A terrible teen 787-8 Dreamliner or so called 787-8 [HASHTAG]#719[/HASHTAG] ( existing )? twitter.com/boeingairplane…
View details ·
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
Msomi wewe bro. Ndege haianzi kujengwa kama nyumba. Waziri anasema ndege yetu [HASHTAG]#719[/HASHTAG] lakini Kwa Boeing last ni [HASHTAG]#541[/HASHTAG] Kwa hizi 787-8 twitter.com/gmwangonda/sta…
View details ·
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
Prof Naomba Serikali itoe aircraft summery [HASHTAG]#719[/HASHTAG] na #19 bado inaleta ukakasi. Uwazi Ndio utaondoa haya maswali yote
@BoeingAirplanes twitter.com/mbarawam/statu…
View details ·
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
Nashukuru Sana Kwa maelezo haya. Tunakwenda hatua ya pili ya kulinganisha majibu haya na ushahidi kutoka
@BoeingAirplanes @MbarawaM twitter.com/wizarauum/stat…
View details ·
Zitto Kabwe Ruyagwa
@zittokabwe
May 2
Ipo siku nitaimba hii mistari Bungeni. Naipenda mno mno. Isikilize Kwa makini na utafakari Kwa kina fb.me/3PL3EvHB7