I'm coming meeeeeeeeen!
Mhhhh! Haya banaaa kila la heri usisahau kufumba macho usione vile vitu unavyoviogopa
hahahahahaha! Nitavaa miwani ya mbao. Mikono tu ndio inahusu hapo.
Husninyo just PM me then we can talk the price and all other arrangement
I'm coming meeeeeeeeen!
aiseee, nahisi nitakimbia vifaa vyangu vya kazi niviache hapo. Lol.Mikono inaweza kugusa mavitus ...basi ukatamani uondoe miwani yako ya mbao ili uangalie umegusa kitu gani tena lol! na hapo ndiyo utaona vitu vya kutisha hahahahah lol!
Husninyo unamkumbuka Mysteryman? Naona jamaa anafuata nyayo.Mambo ya Nyarugusu haya midola inawasha mifuko!
heeee! Mbona kama unataka kuniharibia dili chalii. Acha nile kichwa kwanza.
wanshangaza.
Source:faiza foxy.
aiseee, nahisi nitakimbia vifaa vyangu vya kazi niviache hapo. Lol.