Body Massage

Kifuniko

Member
May 20, 2011
97
17
Anahitajika dada mwenye utaalamu wa kufanya full body massage, nitakua maeneo ya DSM for next few weeks na nitahitaji hii huduma privately. Maombi yanakaribishwa ikiwemo bei iwe kwa dollar au TSH
 
hahahahahaha! Nitavaa miwani ya mbao. Mikono tu ndio inahusu hapo.

Mikono inaweza kugusa mavitus :)...basi ukatamani uondoe miwani yako ya mbao :) ili uangalie umegusa kitu gani tena lol! na hapo ndiyo utaona vitu vya kutisha hahahahah lol!
 
Mikono inaweza kugusa mavitus :)...basi ukatamani uondoe miwani yako ya mbao :) ili uangalie umegusa kitu gani tena lol! na hapo ndiyo utaona vitu vya kutisha hahahahah lol!
aiseee, nahisi nitakimbia vifaa vyangu vya kazi niviache hapo. Lol.
 
Back
Top Bottom