Body Mass Index(BMi)

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Body Mass index ni hesabu ndogo zinazotusaidia kujua uhusiano uliopo kati ya uzito wa mwanadamu(weight) na urefu wake(height) ili kufahamu kama uko kwenye uzito unaotakiwa.
BMI=Weight(kg)/height(m2)
Vitu vya msingi ni kupima uzito wako na urefu wako tu na mhudumu yeyote wa afya atakusaidia kufanya mahesabu au hata wewe mwenyewe..

Vipimo vyake na maana.1...18.5 ni underweight(uko chini ya uzito) ongeza msosi
2...18.5-24.9 ni normal weight(uzito unaotakiwa)

3...25-29.9 ni overweight(uzito mkubwa) punguza chakula na mazoezi

4...30> ni obese(uzto mkubwa sana) punguza chakula sana na mazoezi kwa wingi.

Kwa ufupi hasara za kuwa overweight unakua katika risk kubwa ya kupata magojwa kama sukari,pressure na mwili kuuma kila mara hasa mgongo na miguu

Ushauri... tujitaidi kupima afya zetu kila mara na B.M.I ni muhimu sana tujitaidi kujua B.M.I Zetu.
 
Haina haja ya kumsumbua huyo muhudum playstore kuba app kibao zinazo calcvlate bmi
 
Back
Top Bottom