Body Language

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,669
155,067
577742_402016136540386_1895770554_n.jpg
 
Hilo ni fumanizi tu hamna jingine na huyo jamaa biology yake itakua mali ya huyu Mama baunsa
 
Hiyo type ya Nyonyo zake zetu (enzi za Mwl) tulikuwa tunaiita SIMBA CHAI...Ashaikhum si matusi
 
Wamemuudhi nini super Nyambizi?

Omba MUNGU nyambizi hiyo isikuzamishe!!!

Kufa kwa kukosa HEWA (suffocation) ni moja ya vyanzo tarajiwa vya kifo chako..Kwenye magazeti ya Shigongo itasomeka: ALIFIA MANYONYEONI baada ya kukosa hewa:)
 
Back
Top Bottom