Bodigadi wa zamani wa Dr. Slaa, Khalid Kagenzi akanusha kutaka kumuua Dr. Slaa

Informer humjui nyaucho wewe? alikuwaga usalama wa taifa na ni hodari wa kutunga matukio....sasa ametunga hili ili chadema ipate huruma ya wananchi lakini anasahau kuwa unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa muda fulani lakini huwezi kuwadanganya watu wote muda wote

Ndugu tambua kuwa intelegencia ya CHADEMA huwa haikosei maafisa usalama wa CHADEMA wapo juu kuliko TISS na UWT wanaotegemewa na serikali ya CCM ninakuhakikishia huyo Kagenzi hawezi kufungua kesi yeyote kwani anajua kabisa akifanya hivyo tu ameiumbua CCM na idara nzima ya usalama wa Taifa
 
Last edited by a moderator:
Josephine Mushumbusi
Hardships often prepare ordinary people for an exraordinary destiny.

God Help me,you have always been there for me, since my childhood.

Najua wengi mngependa kujua nini kwa Ufupi.
Kwa kawaida nimekuwa na mazoea ya kumuandalia Dr take away ya breakfast.
Ambayo Huwa inakuwa Birika Dogo sana la vikombe kama viwili hivi vya chai na mkate aina ya bager.
Birika Hilo anaenda nalo asubuhi kazini na viungo vyote,anapojisikia njaa anatia maji na kuchemsha chai yake na kunywa.
Anapokuwa na vikao vya nje au secretariat ya Chama Chake mara nyingi Huwa simfungii kwa kukubaliana na yeye kwa kuwa katikati ya vikao hivyo wanapata bites.

Khalid Kagezi- ambae ni Mlinzi bi nafsi wa baba amekuwa akitembea na hiyo sumu nafikiri kwa zaidi ya wiki moja sasa,lengo lilikuwa kumuwekea baba katika chakula hicho nachofunga ili ijulikane Mimi ndiye muuwaji kwa kuwa ndiyo muandaaji wa chakula hicho.

Kagezi-aliandaa mazingira vizuri sana kwa mda bila Mimi kujua,alikuwa akitangaza kwa watu mbalimbali kwamba Mimi nitamuuwa Dr,amekuwa akiyasema hayo kwa wafanyakazi mbalimbali pale ofisini,hata walinzi wangu nyumbani.

Lakini alienda mbali sana na kuwaambia wachungaji kadhaa ambao alijua ninafahamiana nao.
Mchungaji moja alinipa akaniambia niwe makini japo hakunieleza ni nini.

Baba Askofu Wangu Alimuita Mume Wangu na kumwambia nimesikia Mke wako anaenda kukuuwa kwa sumu,akamwambia nimeambiwa umeshapewa taarifa.kweli iliniuma sana sana,niliwaza na kulia sana kwanini asiniite kama Mtoto wake na kuniambia na anamwambia Mume wangu nini kipo nyuma ya Pazia.Ukweli nililia sana kwa siku nne mfululizo,hata Leo bado nalia kwani ingetokea asingeniamini kwa lolote.

Mungu ndiye mpagaji wa kila jambo kwa wiki nzima sikumpa baba take away yake,naambiwa alithubutu hata kumsema sekretari kwanini siku hizi simfungii chakula katika harakati za kukuza mazingira ya kuwa Mimi na Mume Wangu ha tuko vizuri,Kumbe hakujua nilikuwa na ratiba kamili ya kazi zake na tukakubaliana nisimfungie chakula.

Jumamosi-niliamka mapema nakwenda mazoezini,kagezi alipoona nimeondoka akaenda ndani (dinning)
Bahati nzuri alikutana na mama yangu wa Kazi,akamwambia mama ameniruhusu nikanywe chai.akapita na kuelewa dinning,ukweli haijawi kutokea mlinzi yoyete kuingia dinning na kuchukua chai ambayo imeandaliwa kwa ajili ya baba,(kipindi chote cha shule watoto wako boarding)

Mama msaidizi Wangu akashtuka,lakini akamuacha akaingia kwakuwa amemwambia mimi nimemruhusu,lakini hawezi kujiuliza maana Nimetoka na kagezi akawa tayari kutimiza hadhima yake,ghafla mama akaamua kwenda dinning,Kagezi alishtuka sana na kumwaga chai chini,wakataniana na mama kulikoni?basi mama akamsaidia na kwakuwa bado tu naamini japo hatujui kwa Dakika chache alifanya nini.Kagezi ikabidi atoke nje na chai yake,ambayo pia akashindwa kuinywa,walinzi na driver wakamuuliza umeifuata ya nini.
Baba hakwenda kazini,na ikabidi wao waondoke ndipo yeye akaenda moja kwa moja kwenye Ofisi za Usalana,ambapo akaonekana na vijana Wetu,na hatimae kumuoji..................kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari.

kinacho niumiza leo,watu kadhaa ambao binafsi niliwaamini na kuniheshimu,wananipigia na kunipa pole na kuniambia walikwisha sikia mengi maovu juu yangu na ati mimi ninajama za kumuuwa mume Wangu!!!!!!!!!!!! Kutoka kwa Kagezi.

Najiuliza????????? Kwanini hawakusema?????
Je walisubiri Yamkute Dr waninyooshee Kidole??????

INAUMA SANA

Ushauri- tusiwe wepesi wa kusikiliza Majungu na kuyasambaza kwa kuyakuza,yatakugharimu kwani kama hutajisumbua kuujua ukweli utajitengenezea dhambi ya bure.

Najua wapo wengi leo wanaohukumu watu pasipo kuujua ukweli,
Machozi ya mtu ni sumu.

KAGEZI you will pay for my tears,Mungu Wangu yupo kazini.

Hukufikiria hata watoto ?

Thx all am free.
Yesterday at 18:31 · Public · in iOS Photos
Josephine Mushumbusi added a new photo to the album iOS Photos.
View Full Size · Send as Message · Report
121 people like this.
View previous comments…
Abdulhamid Kagina
Tuta amini vp?
Like · Report ·
 
Kagenzi amekubali kupigwa na ma-green guard wa ccm mpaka makovu ili ionekane alipigwa na walinzi wa pipoz hahahahaaa..... Maccm hovyo sana
 
kagenzi si mtuhumiwa wa mauaji,
mauaji gani,hata uweke blahblah za kuwa alitaka kumwua slaa kwa maneno tu haitoshi kumshikilia mtu,at least kungeukua na ushahidi hata sumu kama alikua nayo etc.

hiyo sijui mpesa transaction statement hata kama siyo forgery haitoshi kuwa ushahidi

Mkuu lakini kwa kutumia tu common sense ya layman kabisa, inakuingia akilini kweli jopo likae lifanye forgery ya muhamala wa Kagenzi kwa faida ipi itakayopatikana kwa forgery hiyo?
Je wajua huo muala haufutiki kamwe ,
Je wajua kama wewe mjanja wa kudukua hata sasa hivi unaweza pata iyo transaction report kutoka kwa namba ya Kagenzi?
As great thinkers kwa pamoja tukusanye relevant facts alafu mwishoni tuta-reason critically bila kujali rangi za bendera ya chama.
 
CDM ina macho, inafikiria HALAFU HAIKURUPUKI. Angalia maelezo ya Dr. Slaa, Mrs. Dr. Slaa, Taarifa ya kurugenzi ya Usalama ya CDM na maelezo ya huyo Kagenzi. Utamjua MCHAWI ni nani
 
Wakati ule, niliwaambia watu humu, kuwa ile kitu ni 'bonafide genuine!", wakanibishia!, sasa huu ni uthibitisho wa utekelezaji!. Haya mambo ya mipango miovu ya Chadema dhidi ya binadamu wenzao, itakuja kuicost Chadema mbele ya safari. Kuna kitu kinaitwa karma, hakina mswalie Mtume, Chadema italipwa bakora za karma as chama, lakini individuals viongozi na wanachama wa Chadema, wanaishiriki udhalimu huu nao watalipwa na karma individually ila Kagenzi nae kama kweli ni msaliti, nae karma yake ya usaliti pia ipo na haitamuacha salama!.
Pasco
 
Josephine Mushumbusi
Hardships often prepare ordinary people for an exraordinary destiny.

God Help me,you have always been there for me, since my childhood.

Najua wengi mngependa kujua nini kwa Ufupi.
Kwa kawaida nimekuwa na mazoea ya kumuandalia Dr take away ya breakfast.
Ambayo Huwa inakuwa Birika Dogo sana la vikombe kama viwili hivi vya chai na mkate aina ya bager.
Birika Hilo anaenda nalo asubuhi kazini na viungo vyote,anapojisikia njaa anatia maji na kuchemsha chai yake na kunywa.
Anapokuwa na vikao vya nje au secretariat ya Chama Chake mara nyingi Huwa simfungii kwa kukubaliana na yeye kwa kuwa katikati ya vikao hivyo wanapata bites.

Khalid Kagezi- ambae ni Mlinzi bi nafsi wa baba amekuwa akitembea na hiyo sumu nafikiri kwa zaidi ya wiki moja sasa,lengo lilikuwa kumuwekea baba katika chakula hicho nachofunga ili ijulikane Mimi ndiye muuwaji kwa kuwa ndiyo muandaaji wa chakula hicho.

Kagezi-aliandaa mazingira vizuri sana kwa mda bila Mimi kujua,alikuwa akitangaza kwa watu mbalimbali kwamba Mimi nitamuuwa Dr,amekuwa akiyasema hayo kwa wafanyakazi mbalimbali pale ofisini,hata walinzi wangu nyumbani.

Lakini alienda mbali sana na kuwaambia wachungaji kadhaa ambao alijua ninafahamiana nao.
Mchungaji moja alinipa akaniambia niwe makini japo hakunieleza ni nini.

Baba Askofu Wangu Alimuita Mume Wangu na kumwambia nimesikia Mke wako anaenda kukuuwa kwa sumu,akamwambia nimeambiwa umeshapewa taarifa.kweli iliniuma sana sana,niliwaza na kulia sana kwanini asiniite kama Mtoto wake na kuniambia na anamwambia Mume wangu nini kipo nyuma ya Pazia.Ukweli nililia sana kwa siku nne mfululizo,hata Leo bado nalia kwani ingetokea asingeniamini kwa lolote.

Mungu ndiye mpagaji wa kila jambo kwa wiki nzima sikumpa baba take away yake,naambiwa alithubutu hata kumsema sekretari kwanini siku hizi simfungii chakula katika harakati za kukuza mazingira ya kuwa Mimi na Mume Wangu ha tuko vizuri,Kumbe hakujua nilikuwa na ratiba kamili ya kazi zake na tukakubaliana nisimfungie chakula.

Jumamosi-niliamka mapema nakwenda mazoezini,kagezi alipoona nimeondoka akaenda ndani (dinning)
Bahati nzuri alikutana na mama yangu wa Kazi,akamwambia mama ameniruhusu nikanywe chai.akapita na kuelewa dinning,ukweli haijawi kutokea mlinzi yoyete kuingia dinning na kuchukua chai ambayo imeandaliwa kwa ajili ya baba,(kipindi chote cha shule watoto wako boarding)

Mama msaidizi Wangu akashtuka,lakini akamuacha akaingia kwakuwa amemwambia mimi nimemruhusu,lakini hawezi kujiuliza maana Nimetoka na kagezi akawa tayari kutimiza hadhima yake,ghafla mama akaamua kwenda dinning,Kagezi alishtuka sana na kumwaga chai chini,wakataniana na mama kulikoni?basi mama akamsaidia na kwakuwa bado tu naamini japo hatujui kwa Dakika chache alifanya nini.Kagezi ikabidi atoke nje na chai yake,ambayo pia akashindwa kuinywa,walinzi na driver wakamuuliza umeifuata ya nini.
Baba hakwenda kazini,na ikabidi wao waondoke ndipo yeye akaenda moja kwa moja kwenye Ofisi za Usalana,ambapo akaonekana na vijana Wetu,na hatimae kumuoji..................kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari.

kinacho niumiza leo,watu kadhaa ambao binafsi niliwaamini na kuniheshimu,wananipigia na kunipa pole na kuniambia walikwisha sikia mengi maovu juu yangu na ati mimi ninajama za kumuuwa mume Wangu!!!!!!!!!!!! Kutoka kwa Kagezi.

Najiuliza????????? Kwanini hawakusema?????
Je walisubiri Yamkute Dr waninyooshee Kidole??????

INAUMA SANA

Ushauri- tusiwe wepesi wa kusikiliza Majungu na kuyasambaza kwa kuyakuza,yatakugharimu kwani kama hutajisumbua kuujua ukweli utajitengenezea dhambi ya bure.

Najua wapo wengi leo wanaohukumu watu pasipo kuujua ukweli,
Machozi ya mtu ni sumu.

KAGEZI you will pay for my tears,Mungu Wangu yupo kazini.

Hukufikiria hata watoto ?

Thx all am free.
Yesterday at 18:31 · Public · in iOS Photos
Josephine Mushumbusi added a new photo to the album iOS Photos.
View Full Size · Send as Message · Report
121 people like this.
View previous comments…
Abdulhamid Kagina
Tuta amini vp?
Like · Report ·

Heee,mbona unataka kutudanganya ?hivi kweli watu wapange kuua then wapite wanawalika watu kila kona kama wanatangaza sherehe ya harusi?acheni uongo wa kitoto nyie chadema!
 
Sikutegemea majibu tofauti kutoka kwa huyu mlinzi.Kimsingi ni kafundishwa"nn cha kusema"mbele ya public.Ila ninavyojua lazima watakuwa wamemrekodi mahali.Majibu yake haya "hayatii matumaini"kama ni mtu hasiye na hatia.
 
Mkuu lakini kwa kutumia tu common sense ya layman kabisa, inakuingia akilini kweli jopo likae lifanye forgery ya muhamala wa Kagenzi kwa faida ipi itakayopatikana kwa forgery hiyo?
Je wajua huo muala haufutiki kamwe ,
Je wajua kama wewe mjanja wa kudukua hata sasa hivi unaweza pata iyo transaction report kutoka kwa namba ya Kagenzi?
As great thinkers kwa pamoja tukusanye relevant facts alafu mwishoni tuta-reason critically bila kujali rangi za bendera ya chama.
ina maana kama ni forgery huo muamala hautaonekana katika database za kampuni husika za simu.
kama ni muamala wa ukweli mangula atakua mbumbumbu sana kutuma pesa kwa njia hiyo wakati hata kumbukumbu ya jinsi chadema walivyotumia mimala ya mpesa kama ushahidi wa sakata mbalimbali.nani atatuthibishia ukweli wa muamala huo?
 
Josephine asipotenganishwa na mamlaka za utendaji wa chama atawavuruga sana hapo UFIPA.
 
Back
Top Bottom