Bodi ya vyuo vikuu(TCU) yaanza kutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu nchini

Hayo maneno huwa yanabaki hivyohivyo...
Kitu cha msingi subiria chuo ulichochaguliwa kitoe majina ya wanafunzi wake wakitoa ukiliona jina lako inakua poa...
Nikisema mdogo wangu sio kiumri tu hata kitaaluma unaweza kuwa mdogo wangu..!
Nimeiona hiyo link aliyoweka jamaa...
Nachohitaji kujua hiyo namba ya form four unaiandika kwa mtindo gani..?
asante kaka, mimi nimeandika kwa mtindo wa S0031/0182/2013 imekubali
 
kusema provisionally selected na kwamba wanasubiri feedback ya chuo ina maana gani?haimaanishi kwamba huo kinaweza kukukataa? msaada plz
Niliwahi kuona admission list (2015) ya UDSM nikakuta wachache waliokataliwa na chuo. Kwa mfano unapelekwa na TCU ukasomee BA (Economics & Statistics) bahati mbaya huna principal pass ya hisibati-chuo kinakataa na wanatoa sababu. UDSM huwa wanaanika kila kitu.
 
asante kaka, mimi nimeandika kwa mtindo wa S0031/0182/2013 imekubali
Asante mkuu..!
Jiandae kwenda chuo mkuu...
Huo ujumbe usikutishe...
Coz mimi hadi nakaribia kumaliza semester ya kwanza nilikua nikilog in CAS nakuta ujumbe wao umebaki vilevile...
Umechaguliwa chuo gani kaka..?
 
Asante mkuu..!
Jiandae kwenda chuo mkuu...
Huo ujumbe usikutishe...
Coz mimi hadi nakaribia kumaliza semester ya kwanza nilikua nikilog in CAS nakuta ujumbe wao umebaki vilevile...
Umechaguliwa chuo gani kaka..?
Mi mbna naona ujumbe ule ule kuwa mfumo wa udahili umefungwa kruhusu uchaguzi wa wanafynz au ndi cjachagliwa?
 
1473597256081.png

Mimi inaleta Hivi,
 
Back
Top Bottom