Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,800
- 6,294
Jana nilimuona Mh. Maghembe Waziri mpya Maliasili Na Utalii, alikua akiwalalamikia Watendaji wa Bodi na Wizara kuwa Mawazo Yao wamefika mwisho kuhusu kubuni mbinu zitazochangia kuongeza Utalii wa ndani na nje kwa ujumla.....nikarudisha kumbukumbu zangu miaka miwili nyuma!
Roho ikaniuma Sana, kifupi kiufupi Nina project idea nzuri Sana kuhusu ku promote vitutuo vyetu vya Utalii, Kama kijana ambaye nipo creativity, nikaandaa project proposal nzuri ambayo inaeleza hatua kwa hatua namna Serikali itavyonufaika na mradi huo, nikazunguka kwa Wadau wa Utalii mikoa miwili Tanzania, kujua mradi wameupokeaje na Kama wana Mawazo yoyote kuboresha.
Kampuni zote nlizotembelelea zikawa very interested, na wakaniahidi kuwa wapo tayari ku sponsor hii project coz ukiacha Serikali hata Wao itawasaidia, nikapita kwenye office moja ya Serikali mkoa kuona naanzia wapi kutambulika na Serikali juu ya hii idea yangu, muhusika akanishauri idea yangu Ni nzuri ila ni bora kuanzia Bodi ya Utalii ama Wizarani moja kwa moja, nikasema ngoja nianze na bodi ya Utalii, nikahangaika nikapata mawasiliano ya mmoja ya Wakurugenzi wa Bodi, nikamweleza idea yangu, akaomba nimtumie soft copy ya project proposal, nikamtumia, akanambia kawapa watu wa Marketing watanicheki, kimya!
Baada ya mwezi nikamcheki tena, akanambia baada ya Dk. 10 anaingia kwenye kikao cha Bodi, nimtumie tena Ili akawapelekee Bodi wajadili, nikamtumia, ukawa Kimyaaa!
Ikawa kila siku namsumbua mpaka nikaanza kuona aibu Mimi, nikajaribu kumtafuta Mch. Msigwa (alikua Waziri kivuli Utalii) nikasema project ikifanyika itampa sifa Kama Waziri kivuli wa Utalii ambaye anajaribu kila mbinu kutangaza Vivutio vyetu, nimemtumia message kila sehemu kuwa Kuna project idea ikifanyika itasaidia kunyanyua Utalii wa ndani, naye akakaa kimyaaa, nikasema nimfate Makonda coz ni Mkuu wa Wilaya yangu, au Nape coz ni Waziri wa Vijana na Mimi Kama kijana labda wanaweza nipa nafasi, nikaona mlolongo ni mrefu, nikaamua kuendelea na maisha yangu mengine.
Kwa bahati mbaya Jana nikamuona Maghembe akiwasema Bodi ya Utalii/Wizara, kwamba mawazo Yao yamefika mwisho coz wameshindwa kubuni vitu ambayo vitasaidia kunyanyua utalii wa ndani....Nikaanza kuona aibu Mimi tena japo walikua wanasemwa ni wengine!
Rafiki yangu Mkenya alinambia ingekua Kenya na hiyo idea yako, Serikali ingekung'ang'ania, Wakenya wanapenda Mawazo tofauti, ndo maana wanaendelea, sisi hatutaki Mawazo mapya, hafu tunataka Mabadiliko......Miaka 900,000.

Last edited by a moderator: