Bodi ya Utalii Tanzania yang'aka kuhusu upotoshaji wa sehemu Mlima Kilimanjaro ulipo

Monasha

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
558
500
1468943721347.jpg

Kama ni uvivu sisi watanzania tumezidisha.
Hii ni mara ya pili huu mlima kukosewa kwamba upo nchini Kenya.
Tujitahidi kivitangaza hivi vivutio jamani.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
24,719
2,000
Leo hii ukisema hata Tanzanite inapatikana Kenya Dunia itaamini japo jina tu linaakisi origin yake. Wazungu ni mazuzu na wavivu wa kufikiri, wanadanganywa kizembe
 
cooper

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
429
250
Duniani wanajua kuwa Tzs ni sehemu ya Ke.
Hatujafanya vya kutosha kujitangaza
 
mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,144
2,000
Hii hainishangazi sababu Kenya wanajitangaza vizuri vivutio vyao, na hivyo kuwaambia watalii watavuka tu mpaka na kuingia TZ katika mkoa uliopo mlima wetu...na wao wanapenda SAFARI kwa hiyo ndio hivyo.

Waanze kujifunza kuvutia watalii waanzie nchini kwetu kwanza na kwenda kwingine.

Na wizi wa majambazi wapunguze maana kama Dar watu wanapewa taadhari kali nani atataka kushukia huku????!!!!!!
 
Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,546
2,000
Dawa yao ni kuzuia watalii kupanda mlima kwa kutokea Kenya ni lazima waingie Tz kwa visa na wanatakiwa wajue sasa wanaingia Tz tena wakati wanaingia wanatakiwa wapatikane watanga vivutio vyetu wawaambie kila kivutio kilichopo Tz
 
abuu garcia

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
229
500
Dawa yao ni kuzuia watalii kupanda mlima kwa kutokea Kenya ni lazima waingie Tz kwa visa na wanatakiwa wajue sasa wanaingia Tz tena wakati wanaingia wanatakiwa wapatikane watanga vivutio vyetu wawaambie kila kivutio kilichopo Tz

Amna mtalii anaepanda mlima kwa kupitia kenya wala akujawai kua na iyo route
 
kisingi

JF-Expert Member
Apr 9, 2014
502
500
Jamani eehh huko duniani Tanzania inajulikana nawale waliofika tz ama kutembelewa na wa tz. Kwa ujumla inajulina east africa maana yake Kenya. TTB ikarabatiwe maana haina muamko wa tourism. Nilifika Miami nikiulizwa unatoka wapi nasema Tanzania, East Africa. Anayeuliza ana jibu tena yeye aah Kenya kama vile east africa yote ni Kenya. Balozi zetu ziwe active. Nime furahi mheshimiwa Masillingi kuanza kujinadi Seattle huko Marekani kwani itawakumbusha Boeing kuwa kuna nchi inaitwa Tanzania.
 
Kwa kweli hii TTB ifumuliwe tu iundwe upya na wawe wsnapewa target kabisa. Siyo TTB tu ingia website ya Ngorongoro utakutana na vi data vya mwaka 2012 tu. Sasa nashangaa kwa dunia ya leo tunategemea kufanikiwa kimiujiza?? We have to work hard otherwise tutaishia kukemea vyombo vya kimataifa bure tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom