Bodi ya mkopo yatoa batch mpya ya wanafunzi waliokosa mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mkopo yatoa batch mpya ya wanafunzi waliokosa mkopo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ginner, Oct 11, 2011.

 1. G

  Ginner JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Hatimae bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu HESLB wametoa upya majina ya wanafunzi wa elimu ya juu wa mwaka 2011/2012 waliokosa mikopo hapo awali kutokana na sababu mbalimbali. Pamoja na list iyo kutoka japa jana jioni list iyo imecover asilimia ndogo sana ya jumla ya wanafunzi wote waliokosa mkopo kwa mwaka huu. majina yaliotolea na machache mno kulinganisha na idadi kamili ya wanafunzi waliokosa mkopo.. Fatilia habari hii katika website ya bodi
   
 2. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Siku nyingine uweke Link ya hiyo website unayo lenga

  Welcome to HESLB

   
 3. G

  Ginner JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Natumia simu muheshimiwa sijawa na utaalamu huo kwa kutumia simu..ila ni Welcome to HESLB
   
 4. o

  oil sumu JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2013
  Joined: Jun 26, 2013
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mimi sipo
   
Loading...