Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi (HESLB) ina udhaifu mkubwa, acheni Uzembe

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
18,500
2,000
Habarini Wadau,

Kuna jambo linashangaza sana na linatoa maswali mengi sana kuwa hivi bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inaongozwa na watu wenye weledi kweli?

Menejimenti yake mikoani ipo hovyo sana, sio mara moja watu wameilalamikia humu kwasababu ya uzembe uliopo, mfano mzuri ni tawi la kanda ya Kaskazini, ukienda pale Arusha ofisini (HQ) utakuta watumishi wengi waliotoka Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha wametumia nauli zao mpaka Arusha mjini kwasababu kadha wa kadha unaotokana na uzembe wa bodi, hasa kwenye makato ya deni.

Mimi binafsi nimehitaji statement ya kujua madeni na makato yangu nimekuta miezi 7 niliyokatwa hayaonekani katika statement na wenzangu wawili, mmoja miezi minne haionekani na mwingine mitatu.

Ajabu zaidi mfanyakazi mwenzangu wa ofisi moja yeye Bodi ya mkopo inamkata pesa mara mbili halafu jumla ya deni kabla ya malipo inatofautiana na ina control no. tofauti

Sasa ukitaka kujua wapo hovyo, nenda kaaddress tatizo lako uone kama wanatatua kwa wakati, zaidi ya kukuambia nenda tutashughulikia na ndio basi utawasumbua sana mpaka uwarudie tena.

HESLB hebu fanyeni kazi kama watu wasomi, acheni uzembe, hamuwalipii nauli watu wanaowafuata huko maofisini mwenu.
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,284
2,000
Habarini Wadau,

Kuna jambo linashangaza sana na linatoa maswali mengi sana kuwa hivi bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ina ongozwa na watu wenye weledi kweli?

Menejimenti yake mikoani ipo hovyo sana, sio Mara moja watu wameilalamikia humu kwasababu ya uzembe uliopo, mfano mzuri ni tawi la kanda ya kaskazini, ukienda pale Arusha ofisini (HQ) utakuta watumishi wengi waliotoka Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha wametumia nauli zao mpaka Arusha mjini kwasababu kadha wa kadha unaotokana na uzembe wa bodi, hasa kwenye makato ya deni.

Mimi binafsi nimehitaji statement ya kujua madeni na makato yangu nimekuta miezi 7 niliyokatwa hayaonekani katika statement, na wenzangu wawili mmoja miezi minne haionekani na mwingine mitatu.

Ajabu zaidi mfanyakazi mwenzangu wa ofisi moja yeye Bodi ya mkopo inamkata pesa mara mbili halafu jumla ya deni kabla ya malipo inatofautiana na ina control no. tofauti

Sasa ukitaka kujua wapo hovyo, nenda kaaddress tatizo lako uone kama wanatatua kwa wakati, zaidi ya kukuambia nenda tutashughulikia na ndio basi utawasumbua sana mpaka uwarudie tena.

HESLB hebu fanyeni kazi kama watu wasomi, acheni uzembe, hamuwalipii nauli watu wanaowafuata huko maofisini mwenu.
HESLB wameshakuwa sehemu ya lile genge ovu la kudidimiza watumishi.
 
julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
934
1,000
Labda kurekebisha madhaifu ya ufanyaji kazi ila dunian kote bodi za mikopo zipo hata ma nchi makubwa kama Marekani student Loans zipo na kwa taarifa yako ndio kila mtu anatumia. Huwezi kusoma vyuo vikubwa bila Loan. Ukisema wafutwe jinga wewe watoto wa maskini utawapa mkopo wewe?
 
Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
1,066
2,000
Habarini Wadau,

Kuna jambo linashangaza sana na linatoa maswali mengi sana kuwa hivi bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu inaongozwa na watu wenye weledi kweli?

Menejimenti yake mikoani ipo hovyo sana, sio mara moja watu wameilalamikia humu kwasababu ya uzembe uliopo, mfano mzuri ni tawi la kanda ya Kaskazini, ukienda pale Arusha ofisini (HQ) utakuta watumishi wengi waliotoka Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha wametumia nauli zao mpaka Arusha mjini kwasababu kadha wa kadha unaotokana na uzembe wa bodi, hasa kwenye makato ya deni.

Mimi binafsi nimehitaji statement ya kujua madeni na makato yangu nimekuta miezi 7 niliyokatwa hayaonekani katika statement na wenzangu wawili, mmoja miezi minne haionekani na mwingine mitatu.

Ajabu zaidi mfanyakazi mwenzangu wa ofisi moja yeye Bodi ya mkopo inamkata pesa mara mbili halafu jumla ya deni kabla ya malipo inatofautiana na ina control no. tofauti

Sasa ukitaka kujua wapo hovyo, nenda kaaddress tatizo lako uone kama wanatatua kwa wakati, zaidi ya kukuambia nenda tutashughulikia na ndio basi utawasumbua sana mpaka uwarudie tena.

HESLB hebu fanyeni kazi kama watu wasomi, acheni uzembe, hamuwalipii nauli watu wanaowafuata huko maofisini mwenu.
Umeongea kwa uchungu sana, hakikisha watoto wako unawasomesha kwa cash
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom