Bodi ya mikopo ya vyuo vikuu (HESLB ) Itueleze vigezo vya kupata mkopo kwa wanafunzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,638
218,071
Hii ni kwa lengo la kuondoa utata na kuwezesha sisi wazazi kujipanga .

Ni vema kufanya hivi ili wananchi wajionee wenyewe sheria iliyotungwa na bunge inataka nini kuwezesha watoto wetu kupata mkopo .

Naomba kuwasilisha .
 
Hawawezi kuweka wazi vigezo wanataka wengi waombe ili fedha nyingi ya application ipatikane.Kila muombaji fee 40,000 zidisha mara idadi 60,000 walioomba mwaka jana.Waliiopata 30,000. Kwahiyo waliokosa walichangia 30,000x40,000 = 1,200,000,000 .
 
Duh! kwahiyo kuna upigaji pia ?
 
Back
Top Bottom