Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,783
- 819

Kweli wanofikiri kwa makalio ni wengi nchi hii!! Yaani simple point ya mwanzisha mada watu wameshindwa kuelewa! HAJAKATAA KULIPA DENI  Ila Mkataba wa mkopo unasema unatakiwa ulipe ndani ya miaka 10, hausemi unatakiwa ukatwe 10% kwenye mshahara kila mwezi, kutegemea na mshahara wako hii inamaanisha unaweza ukajikuta umelipa deni zima kwa kipindi kifupi sana kwa deni ambalo halina interest kubwa hii inaweza ikawa disadvantage plus inaweza ikakwamisha mipango mingeni.

Mkataba inabidi uheshimiwe, na kama mkataba hauwaruhusu kubadili viwango vya malipo basi watakuwa wamevunja mkataba na hatua za kisheria zinaweza kuchukuliwa, ila hii ndo Bongo tunasongo hivyo hivyo.

Kumaliza refunding mapema ni advantageous phenomenon kwa sababu thereafter, unakuwa free na strategy zako.

Halafu, we have to alert our young brothers at our universities about the prevailing situation, so that they can decide whether to SHAVE or PLAIT. i.e kukopa ama kulipa cash.