Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu yaanza kukata madeni kwa formula mpya!

Mm sipingani na kulipa. sasa wewe unavyosema kwamba ss vijana majukumu hayajapandana nakushangaa sana tena sana. hujui kwamba ss ndounakuta tunalea familia zetu kama wazazi, wadogo zetu waende shule na mambo mengine halafu unasema hayo maneno. Nazani hayo maneno nikwajili ya watoto waviongozi na matajiri sio ss ambao tunajua jinsi tunavyoteseka hili ndugu na jamaa zetu wapate japo mlo wa siku.
Usijibibizane na mtoto wa Chenge kwake yeye 10% hata vijisent havifikii

jamani uendeshaji wa kila sector inautaratibu maalum designed 4 its managent and cntrl in order 2 achieve its pre-set goals....well if this c one designed way that our gvt...can obtain funds frm its own citizen n wisely spend it...then i see no reasn 2 negate this idea....you people hv to understand we serve a nation 4 2dy n 2mr. Dnt be selfish.

Hv hawa w.....e mbona wanatuzingua sana! Wao hawakati workes wao nn,au wana mamishahara makubwa kiasi kwamba hawawezi kufeel burden?

&t
Jamani ni mwezi wa pili sasa watumishi mbalimbali wa Serikali Kuu na Taasisi zake ambao wameanza kukatwa malipo na Mfuko wa Board ya wanafunzi wameshuhudia utaratibu mpya wa makato hayo, Awali walikuwa wakikata 31,000/= flat kwa wote wanaostahili, sasa wamekuja na formular mpya ambayo wanadai wanakata 10% ya Disposable income ambayo inafikia mtu kukatwa hadi kufikia sh 150,000/- pasina kujali liabilities nyingine, huu utaratibu si sahihi na aukubaliki hata kidogo na inavyoonekana aukufanyiwa utafiti hata kidogo.

Jmani ndugu zangu wana JF naomba tushilikiane kupinga ukandamizaji huu kwa mliopo Jamvini na ambao hawapo jamvini,<br /;

Naomba kutoa hoja!

10% ya basic salary?kiruuuuu!! Kazi sasa ndo inaanza. Vumbi la mgao wa giza na mafuta halijatulia, loan board nao wanaibuka kivingine. Kweli maumivu ya kichwa huanza taratiiiiiiibu.

Lipeni wengine wasome! Aaargh. Mods toa jukwaa hili

hawajasema wamekataa kulipa ila mkataba ni lazima wauheshimu kwani wanakiuka mkataba we mbona unakua kama hujaenda shule eti jukwaa litolewe kwan umelazimishwa kushiriki au we babako fisadi nini. Shame on u.

Mbona 10% ni kidogo? Je wangekopa Banks si wangelipa zaidi ya hiyo na interest juu. Pia wengi ni vijana ambao bado majukumu hayajapandiana. Jamani DAWA YA DENI NI KULIPA, acheni kutetea hata mambo yaliyo wazi tena ni HAKI na WAJIBU.

Upo sahihi tu, kukopa harusi kulipa matanga. Lipeni madeni wadogo zenu wanaosoma kila siku wanaandamana mabarabarani kudai mikopo, iweni wazalendo futeni mawazo hayo ya tamaa ambayo huzaa ufisadi, in case umepata opportunity!

Hawa bodi ya mkopo hovyo sana, mie hata mwaka na nusu sijafika tayari washakata!

Upo sahihi tu, kukopa harusi kulipa matanga. Lipeni madeni wadogo zenu wanaosoma kila siku wanaandamana mabarabarani kudai mikopo, iweni wazalendo futeni mawazo hayo ya tamaa ambayo huzaa ufisadi, in case umepata opportunity!

Hakuna aliyekataa kulipa, kuna mambo mengi ya kuangalia hapa. ilikuwa mkopo irudishwe kwa minimum 10yrs au ukiweza maliza deni lote kwa mkupuo sawa. sasa hawa bodi ya mikopo wameshindwa kuwa na utaratibu wa kuwafikia kila 1 then wanakuja na hilo la 10% ambalo ni sifa tu wanataka ili next yr waseme tumerecover 10bn. wasio formal ajira na nina uhakika they can not be tressed with the old brains they have at HESLB. tuliokopeshwa ni wengi sana wangejaribu kuwafikia hata 50% na wakalipa even 1% kwa mwezi ni hela nyingi sana. ikishakuwa ni kuumizana kila mtu ataanza kukwepa kulipa.

Jamani ni mwezi wa pili sasa watumishi mbalimbali wa Serikali Kuu na Taasisi zake ambao wameanza kukatwa malipo na Mfuko wa Board ya wanafunzi wameshuhudia utaratibu mpya wa makato hayo, Awali walikuwa wakikata 31,000/= flat kwa wote wanaostahili, sasa wamekuja na formular mpya ambayo wanadai wanakata 10% ya Disposable income ambayo inafikia mtu kukatwa hadi kufikia sh 150,000/- pasina kujali liabilities nyingine, huu utaratibu si sahihi na aukubaliki hata kidogo na inavyoonekana aukufanyiwa utafiti hata kidogo.

Jmani ndugu zangu wana JF naomba tushilikiane kupinga ukandamizaji huu kwa mliopo Jamvini na ambao hawapo jamvini,

Naomba kutoa hoja!

kaka kwanza pole kwa kuumizwa. Pili hongera sana kwa kupata kukopeshwa na serikali sikivu. Tatu, nadhani kama mtu anakudai ukawa unamlipa kiasi kikubwa kikubwa ndio unawahi kumaliza deni au wewe unasemaje?Nne ni kuwa mimi ninavyofahamu ni kwamba kama nitakukopesha pesa zangu nitakapo zihitaji kwa utaratibu tuliokubaliana basi sihitaji kujua nini kingine kinachokusibu. Tano, kaka nahisi ulichukua loan nyingine huko kazini kwako, kwahiyo ukikatwa laki na nusu kisha pesa ya benk kisha kodi, kisha ppf, kisha mipango yako ya kimaendeleo hapo lazima uchanganyikiwe, mimi binafsi nakupa pole.

Mbona 10% ni kidogo? Je wangekopa Banks si wangelipa zaidi ya hiyo na interest juu. Pia wengi ni vijana ambao bado majukumu hayajapandiana. Jamani DAWA YA DENI NI KULIPA, acheni kutetea hata mambo yaliyo wazi tena ni HAKI na WAJIBU.

Sikia mkuu kwa jinsi zile form za HESLB mkopaji anatakiwa kulipa mkopo wake baada ya miaka 10 tokea ameanza kufanya kazi sasa inakuwaje wanataka kwenda kinyume na mkataba? hapa wandugu mloanza kukatwa ni swala la kujipanga either wafanyakazi wote kugomea hii tabia au VIONGOZI TUCTA + CWT waambiwe hili swala,Mungu wangu sijui itakuaje mimi ambae ntaanza kazi wakianza kukata hyo percent na mshahara wenyewe wa ualimu! Ngoja niupitie tena ule mkataba wa 2008 wa Heslb

Tatizo ni Serikali kutotoa ajira za kutosha kwa watu wamalizapo chuo. Ni watu wachache sana ndio wapo katika system na ndio wanaokatwa hizo hela. Wengi wetu hawana ajira hivyo hakuna njia ya kuwakata hivyo wanalazimisha kufikia lengo la makusanyo kwa mwaka kwa wale ambao wapo tayari ktk system na wanasahau kuwa wangeongeza ajira wangekuwa na pool kubwa ktk marejesho kuliko kuwaumiza wachache.

Dawa ya deni Kulipa sio kuanza kutoa visingizio, pesa mlikula (tena nakumbuka tulivyokuwa wakali Boom likichelewa) sasa muda wa kulipa ooh sijui nani kampa kimada wake kazi nzuri, sijui mwanae kapewa ukurugenzi aaah wapi, Lipeni pesa zao.

u must be crazy genius! who said we dont want to repay? nyie ndo mifano ya baadhi ya viongozi wetu tunaowaona! ambao wanaingia mikataba leo then after some time hajui alisaini nini na mkataba ulipo hajui na athari zake ndo hizi zinaanza kuwatokea puani! ,, Bodi ya mkopo si taasisi ya fedha inayoendeshwa kwa minajili ya faida! ni taasisi iliyowekwa kisheria kukopesha wanafunzi with interest free ikieleza clear kuwa all repayment has to done with ten years! 10% alisign nani? na kama nadaiwa 6m natakiwa kila mwezi nilipe 50,000! only! huu uhuni wao acha uendelee na si mpo??? hii nchi imekuwa na watumishi amabo hafati sheria na hawaheshimu mikataba! na ni kati ya vitu ambavyo vimerudisha nyuma maendeleo yetu! WAVIVU WA KUFIKIRI WANAHISI NI KUBURUZA WATU KAMA WANAVYOTAKA HATA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI IMEWASHINDA! MTAAIBIKA SANA MWAKA HUU!

RAI YANGU KWA WANAJAMVI-najua kuna watu wana pesa za ufisadi zinawawasha tu ndo maana wanaweza kuamua kupost kitu chochote kama wanavyojisikia, watu tuna hasira na uongozi wa board jinsi ulivotutesa kupata mikopo, mda wetu mwingi ulivokuwa unaishia barabarani kudai pesa, migomo na leo wanachakachua makubaliano! na bado mtu anaandika SI MLIPE! NYOOOOO! STUPID MIND¬! mishahara yetu ni shs ngapi?PAYE INAYOENDA SERIKALINI NI SHILINGI NGAPI?? na hao viongozi wenye pesa nyingi amabao wameishajiestablish na wamesoma bila hata kutoa cent moja wamelipa nini? na hii nchi wamiliki wake ni wananchi au baadhi ya watu fulani?

Shadadia mambo msiyoyajua hali hali zetu zinaenda mlama kila kukichA UTAFIKA MDA NINAYOYASEMA YATATIMIA!sisi si wajinga wa kuyumbisha kama mnavotaka!

LAZIMA MAKUBALIANO YAHESHIMIWE TENA SANA! NAWASILISHA!

kama deni linalipwa ndani ya miaka 10,,,wangefanya mchakato wa kujua deni ni kiasi gani na kila mwaka inatakiwa kulipwa vp na wakati huo huo wacalculate kujua kila mwezi ni kiasi gani kikatwe

Kweli wanofikiri kwa makalio ni wengi nchi hii!! Yaani simple point ya mwanzisha mada watu wameshindwa kuelewa! HAJAKATAA KULIPA DENI Ila Mkataba wa mkopo unasema unatakiwa ulipe ndani ya miaka 10, hausemi unatakiwa ukatwe 10% kwenye mshahara kila mwezi, kutegemea na mshahara wako hii inamaanisha unaweza ukajikuta umelipa deni zima kwa kipindi kifupi sana kwa deni ambalo halina interest kubwa hii inaweza ikawa disadvantage plus inaweza ikakwamisha mipango mingeni.

Mkataba inabidi uheshimiwe, na kama mkataba hauwaruhusu kubadili viwango vya malipo basi watakuwa wamevunja mkataba na hatua za kisheria zinaweza kuchukuliwa, ila hii ndo Bongo tunasongo hivyo hivyo.

Dawa ya deni Kulipa sio kuanza kutoa visingizio, pesa mlikula (tena nakumbuka tulivyokuwa wakali Boom likichelewa) sasa muda wa kulipa ooh sijui nani kampa kimada wake kazi nzuri, sijui mwanae kapewa ukurugenzi aaah wapi, Lipeni pesa zao.

Kumbuka nasaha za rais mstaafu B. W. Mkapa, aliposema kulipa deni humjengea heshima mdaiwa/mkopaji.

Back
Top Bottom