Bodi ya mikopo ya elimu ya juu vp kuhusu right of privacy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu vp kuhusu right of privacy

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by China Vach, Mar 13, 2011.

 1. C

  China Vach Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online kwa website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na gazeti la mwananchi la tarehe 12 katika page 13, lakini kinachonishangaza katika masharti ya kutumia hakina term inayozungumzia juu ya issue of privacy, wakati faragha ni suala la kikatibu(Article 16 ya katiba ya Tanzania)
   
Loading...