Bodi ya mikopo ya elimu ya juu tz ni wezi

colin_morgan

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,443
2,895
Habar za mda mrefu wakuu , baada ya mda mrefu sana kutonekana kwenye jf leo nimerud kwa machungu na masikitiko

Ni baada ya kupata makato yasioeleweka kwenye mshahara wangu nikasema ngoja nione nini kimejiri kwenye salary slip yngu daah !

Nakuta kuna makato kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu tz kwa kweli hili limenishangaza sana

Sijawahi kupewa hata mia na bodi ya mikopo ,nimesoma kuanzia msingi , secondary hadi nimemaliza chuo kwa jasho la wazee wangu , isitoshe sijawahi hata kuomba mkopo wa elimu ya juu kutoka body yeyote hapa tanzania cha ajabu leo mnaniweka kwenye list ya waliopokea mikopo yenu

Nasema sitokubali kwa hili nitapambana na nyinyi murejeshe hela yangu yote mliokwisha kata , nina risiti zooote ambazo nilikua nalipia chuo kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho

Kama mtukufu kawabana sna mrejeshe hela ambazo mmetoa kuwapa watu mikopo , na wengi wao hawana ajira wako mitaani mnaamua kutafta mbinu mbadala ya ku pick randomly nasema kwangu mmechemka u picked the wrong guy nasema nitapambana kuhakikisha hela yangu mnarejesha

Nimejaribu kuwaandikia barua na kuwatumia kwenye email na vielelezo vyangu kama mlivyonieleza naona bado mmezarau nitakuja ofisini kwenu in no time

Nimeandika kwa uchungu na masikitiko wakuu mtanisamehe kwa rough writting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Body ya mikopo wameupta wapi mshara wako mpaka waukate??? Shida ipo kwa mwajiri wako. Yeye ndo amewapelekea bodi pesa. Mfuate HR ns watu uhadibu ksma upo kwenye shirika

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Pole sana Mkuu usikubali haki yako uliyoitolea jasho idhulumiwe. Pambana Mkuu kuhakikisha huo uhuni wao hauendelei.

Hawawezi kupeleka pesa bila kuwa na documents toka bodi ya mikopo na documents hizo ni FAKE kwani jamaa hajawahi hata kuomba mkopo.

Body ya mikopo wameupta wapi mshara wako mpaka waukate??? Shida ipo kwa mwajiri wako. Yeye ndo amewapelekea bodi pesa. Mfuate HR ns watu uhadibu ksma upo kwenye shirika

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Pole Mkuu, Ni kweli bodi wanashida kwenye ukusanyaji wa haya madeni, nadhani hawana taarifa sahihi kwa baadhi ya watu.Mimi ninakesi nao na ambayo nimesimulia staff wenzangu wiki Jana na wao wameniambia Kuna kitu Kama hicho bodi huzembea.Yaani kwamba office yangu inalipa michango/ makato kila mwezi/ bodi wanatoa na risiti kuwa wamepokea lkn ukienda kufuata statement Baada ya miezi hata mitatu tu utakuta deni lako lipo vilevile,hawaja update ili hali ulishalipa.Sasa I would propose Bodi isukwe upya,Wapanguliwe kuanzia Ma directors mpaka jonior staff.Hivi kweli Watu wanashindwa hata kututengenezea System ya Intranet ambayo itamuezesha mdaiwa kujua deni lake lililobaki na bila hata kusafiri na kwenda mkoa mwingine/ eneo la mbali.
 
Ili mwajiri wangu aingize makato kwenye system ya mshahara wangu lazima body ya mikopo ipeleke jina langu kwenye list yao

Nishaenda kwa HR na nishaona list kutoka loan body na jina langu likiwemo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar za mda mrefu wakuu , baada ya mda mrefu sana kutonekana kwenye jf leo nimerud kwa machungu na masikitiko

Ni baada ya kupata makato yasioeleweka kwenye mshahara wangu nikasema ngoja nione nini kimejiri kwenye salary slip yngu daah !

Nakuta kuna makato kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu tz kwa kweli hili limenishangaza sana

Sijawahi kupewa hata mia na bodi ya mikopo ,nimesoma kuanzia msingi , secondary hadi nimemaliza chuo kwa jasho la wazee wangu , isitoshe sijawahi hata kuomba mkopo wa elimu ya juu kutoka body yeyote hapa tanzania cha ajabu leo mnaniweka kwenye list ya waliopokea mikopo yenu

Nasema sitokubali kwa hili nitapambana na nyinyi murejeshe hela yangu yote mliokwisha kata , nina risiti zooote ambazo nilikua nalipia chuo kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho

Kama mtukufu kawabana sna mrejeshe hela ambazo mmetoa kuwapa watu mikopo , na wengi wao hawana ajira wako mitaani mnaamua kutafta mbinu mbadala ya ku pick randomly nasema kwangu mmechemka u picked the wrong guy nasema nitapambana kuhakikisha hela yangu mnarejesha

Nimejaribu kuwaandikia barua na kuwatumia kwenye email na vielelezo vyangu kama mlivyonieleza naona bado mmezarau nitakuja ofisini kwenu in no time

Nimeandika kwa uchungu na masikitiko wakuu mtanisamehe kwa rough writting.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uzalendo wa kuichangia nchi yako,kwahiyo usilalamike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Mkuu, Ni kweli bodi wanashida kwenye ukusanyaji wa haya madeni, nadhani hawana taarifa sahihi kwa baadhi ya watu.Mimi ninakesi nao na ambayo nimesimulia staff wenzangu wiki Jana na wao wameniambia Kuna kitu Kama hicho bodi huzembea.Yaani kwamba office yangu inalipa michango/ makato kila mwezi/ bodi wanatoa na risiti kuwa wamepokea lkn ukienda kufuata statement Baada ya miezi hata mitatu tu utakuta deni lako lipo vilevile,hawaja update ili hali ulishalipa.Sasa I would propose Bodi isukwe upya,Wapanguliwe kuanzia Ma directors mpaka jonior staff.Hivi kweli Watu wanashindwa hata kututengenezea System ya Intranet ambayo itamuezesha mdaiwa kujua deni lake lililobaki na bila hata kusafiri na kwenda mkoa mwingine/ eneo la mbali.
Asante mkuu , yaan next week nataka niwaendee mjengon maana washaanza kuniumiza vibaya

Kwa anaejua makato ya body ya mikopo ataelewa maumiv yngu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilimliza mkopo toka mwaka 2013 ila 2018 wakaanza kunikata tena so nikaamua kuwafuata wakaniambia eti nimesoma vyuo viwili Dah nikawashangaa sana nikawauliza hayo yanawezekana kweli mtu mmoja kusoma vyuo viwili ? Wakabaki wanashangaa nikajua hapa walishapigwa pesa

Nimewaandikia barua ya madai yangu wanilipe

Wazembe sana
Habar za mda mrefu wakuu , baada ya mda mrefu sana kutonekana kwenye jf leo nimerud kwa machungu na masikitiko

Ni baada ya kupata makato yasioeleweka kwenye mshahara wangu nikasema ngoja nione nini kimejiri kwenye salary slip yngu daah !

Nakuta kuna makato kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu tz kwa kweli hili limenishangaza sana

Sijawahi kupewa hata mia na bodi ya mikopo ,nimesoma kuanzia msingi , secondary hadi nimemaliza chuo kwa jasho la wazee wangu , isitoshe sijawahi hata kuomba mkopo wa elimu ya juu kutoka body yeyote hapa tanzania cha ajabu leo mnaniweka kwenye list ya waliopokea mikopo yenu

Nasema sitokubali kwa hili nitapambana na nyinyi murejeshe hela yangu yote mliokwisha kata , nina risiti zooote ambazo nilikua nalipia chuo kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho

Kama mtukufu kawabana sna mrejeshe hela ambazo mmetoa kuwapa watu mikopo , na wengi wao hawana ajira wako mitaani mnaamua kutafta mbinu mbadala ya ku pick randomly nasema kwangu mmechemka u picked the wrong guy nasema nitapambana kuhakikisha hela yangu mnarejesha

Nimejaribu kuwaandikia barua na kuwatumia kwenye email na vielelezo vyangu kama mlivyonieleza naona bado mmezarau nitakuja ofisini kwenu in no time

Nimeandika kwa uchungu na masikitiko wakuu mtanisamehe kwa rough writting.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Body ya mikopo wameupta wapi mshara wako mpaka waukate??? Shida ipo kwa mwajiri wako. Yeye ndo amewapelekea bodi pesa. Mfuate HR ns watu uhadibu ksma upo kwenye shirika

Siyakudumisa Nkosi Yezulu

HR wanapokea list kutoka bodi ya mikopo. Hawajiamulii tu kuingiza makato kwenye lawson.
 
Back
Top Bottom