Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Yaani hiyo request for loan statement yenu mliyoweka kwenye tovuti yenu hivi mnajua kama iko active? Au mmeweka ili mradi eti mmeonesha ubunifu wenu?.
Yaani mtu unaandika details zote zinazohitajika unakaa kusubiria ulichoomba hakiji.
Mnamwambia mtu aandike chuo alichosoma, je akiandika jina la chuo kinyume na lililoko kwenye mfumo wenu? Hamuoni yawezekana ndio likawa tatizo la mfumo kushindwa Ku retrieve data alizoomba due to ya mismatch??????
Ushauri wangu ni kwamba mnatakiwa kuweka DROP DOWN menu ya kuchagua chuo . Hii itasaidia pia mtu kuandika au kutokukosea kuandika jina la chuo.