Wanachuo mkijaribu kuangalia website ya bodi ya mikopo ,wametoa vijisababu vingine za watu kukosa mkopo, ili kupata huo mkopo wanatakiwa kurekebisha hayo makosa na ukifuatilia wengi wao ni watu wa education ,science na engineering.je? Kuna ukweli wowote wanaposema budget exaustion while baadhi ya faculty there is no budget exaustion. Bodi imetudhihirishia kwamba pesa zipo ila hawajaamua kuzitoa , so they want us to use alternative approach "togather we can"