Bodi ya mikopo na utoja pesa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo na utoja pesa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mabulangati, Feb 24, 2012.

 1. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu ni mara kadhaa kumekuwa na thrend kuhusu bodi ya mikopo na namna inavyofanya kazi. Watu wengi walitoa mawazo na ushauri za uhakika na yanayotekelezeka. Pamoja na hayo, kulikuwa na swala la bodi ya mikopo kuwayaachia mabenki kazi ya distribution ya mikopo na collection of debts bila kutoza riba kwa kuwa hela hizo zingetoka serikalini. Bodi ibaki kufanya kazi za uratibu pekee. Pamoja na hayo yote na mambo mengi yaliyosemwa Bungeni na katika kongamano liliongozwa na Kitila Mkumbo pale UDSM, bodi imeng'ang'ania kazi isiyoiweza na kina Mwaisoba wanabaki wakisema watu wanafanya bodi kuwa jimbo la uchaguzi.

  Leo tunavyozungumza bodi hawana pesa za kuwapa wanafunzi kwa mhula unaokuja na kwa habari nilizozisikia mtu akiongea na mtu mwingine kwa simu kutoka ofisi fulani nyeti ni kwamba kuna uwezekano mkubwa vyuo kadhaa hasa UDSM kufunguliwa baada ya wiki mbili badala ya jumatatu ijayo ya tarehe 27/02/2012. Hii ni kutoka na kuogopa migomo na migogoro isiyokua ya lazima vyuoni.

  Nawasihi wanafunzi wenzangu wa Ardhi, tuwaombe watawala wetu waungane na UDSM kutofungua chuo mpaka wahakikishe kuwa wanafunzi wanapata fedha za kujikimu kabla ya kurudi vyuoni.

  Mwenye mawazo zaidi au taarufa za uhakika kuhusu kusogezwa mbele tarehe ya kufungua chuo UDSm atupatie tafadhali
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu ahsante kwa taarifa.Nipo UDSM taharuki imewakumba waliobaki
   
 3. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Wana beep hao , UDSM mpaka ijumaa watakuwa wameshawapigia...
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kesho natinga huko kwenye uwanja wa mapambano kuckilizia hzo ngonjera za heslb.
   
 5. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Hiyo siyo heslb, ela zitakuwa chuo tayari ila as usual , wanataka wazalishe kwanza ndo wazitoe
   
 6. M

  Meme.com Member

  #6
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huku saut wanafunz wanashndia chapat, na masomo 2shaanza! Ila mgomo n marufuku!
   
 7. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tetec kuwa pesa za mkopo wamelipwa madaktari ili kuzima mgomo wao, kwa mwenye kulifahamu vyema hili suala jaman,
   
 8. M

  Maiga Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hzo,habar mwenyewe nimezisikia, ila nahc kama ni rumours tu, ,kwani bajeti si ilishapangwa? ,,kama ni kwel bac patachmbika, pale UDOM,
   
 9. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nchi iko taabani kifedha, matumizi ya ovyo ovyo ya govt ndo yametufikisha hapa, kila siku unasikia mkuu wa nchi kasafiri na kila safari ina cost si chini ya 500mil sasa hapo hazina itaacha kukauka, bajeti inamegwamegwa kila kukicha na haifatwi, tutateseka sana mpaka 2015.
   
Loading...