Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,005
- 3,641
Nimechunguza viwanda vikubwa na mahitaji ya watumishi. Ili kiwanda kiwe imara kiuendeshaji kinahitaji wafuatao 1. Manager 2. Marketing/Promotion manager 3. Operation manager 4. Human resoure officer 5. Lawyer/ Relation officer. 6. Engineer/Designer/Mechanical/Chemical . 7. Accountant 8. Machine operators 9. Security officers 10. Non titled carder. Nimejaribu kuangalia aina hiyo ya watumishi nikaona wote wanainput katika uanzishwaji na uendelezaji viwanda. Je, hawa wote wamesoma masomo ya sayansi? Ni kweli,tutahitaji wahandisi,lakini wangapi kwa kila kiwanda?